Apo kwenye kuwa overworked nadhan ndio tatizo limezid kuwa kubwa sku hz,je unywaji wa madawa yanaweza sababisha figo kuwa overworked?View attachment 1185712
Moja ya matatizo yanayosababisha kidney failure ni kuwa over worked na sugar filtration.
Moyo na figo hufanya kazi kwa karibu sana. Uncontrolled hypertension huleta kidney failure.
Pombe, dawa za mda mrefu kama ARVs, unywaji mdogo wa maji huleta Kidney stone ambazo nazo huleta kidney failure. Hizi ni sababu nyingi pia kuna trauma ( kuumia ) labda ajali ambzo zina weza sababisha kidney rupture.
Hizo ni sababu kubwa za Figo kufa. Kumekuwa na ongezeko Kubwa la watu wengi figo zao kufa mbaya zaidi Nephrologist ( ma Dr specialist wa figo wako 7) heshma kwa DR kajiru kanda ya kaskazin
Kwa ulimwengu wa Biashara nafikiri saiv wagonjwa wa Kidney failure ndio wana soko sana kuliko ARVs kwajil process wanayo fanyiwa yaku chuja figo( dialysis ) ina cost Zaid ya laki 5/day na inafanywa mara 3 kwa week mpaka siku yako ya kufa.
Na wasilisha.
Navyoona pombe ni tatizo kubwa sana na hasa pombe kali na kutokunywa maji mengi
Sure kuna wanaokunywa pombe kali sana, matumizi ya dawa za maumivu hasa kuna wengine hawapati usingizi mpaka ameze diclopa, kutokunywa maji mengi na mengineyoNi kwel japo si kwa wote binadamu tuna kautofauti kidogo.
Pombe, dawa za mda mrefu kama ARVs, unywaji mdogo wa maji huleta Kidney stone ambazo nazo huleta kidney failure. Hizi ni sababu nyingi pia kuna trauma ( kuumia ) labda ajali ambzo zina weza sababisha kidney rupture.
Hizo ni sababu kubwa za Figo kufa. Kumekuwa na ongezeko Kubwa la watu wengi figo zao kufa mbaya zaidi Nephrologist ( ma Dr specialist wa figo wako 7) heshma kwa DR kajiru kanda ya kaskazin
Kwa ulimwengu wa Biashara nafikiri saiv wagonjwa wa Kidney failure ndio wana soko sana kuliko ARVs kwajil process wanayo fanyiwa yaku chuja figo( dialysis ) ina cost Zaid ya laki 5/day na inafanywa mara 3 kwa week mpaka siku yako ya kufa.
Na wasilisha.
View attachment 1187108hapo ni serekalini garama hizo inaonekana wataomudu ni wachache
Ufafanuzi please 'Uncontrolled hypertension huleta kidney failure' na vipi kuhusu utumiaji wa pombe kali...?View attachment 1185712
Moja ya matatizo yanayosababisha kidney failure ni kuwa over worked na sugar filtration.
Moyo na figo hufanya kazi kwa karibu sana. Uncontrolled hypertension huleta kidney failure.
Pombe kali huunguza ini in a long run, uncontrolled hypertension ni kama hunywi dawa.Ufafanuzi please 'Uncontrolled hypertension huleta kidney failure' na vipi kuhusu utumiaji wa pombe kali...?
wengine tunakunywa dawa kila siku lakini haishuki imekatalia juu huko hukoPombe kali huunguza ini in a long run, uncontrolled hypertension ni kama hunywi dawa.
Njoo PM nikusaidie...wengine tunakunywa dawa kila siku lakini haishuki imekatalia juu huko huko