Pombe, dawa za mda mrefu kama ARVs, unywaji mdogo wa maji huleta Kidney stone ambazo nazo huleta kidney failure. Hizi ni sababu nyingi pia kuna trauma ( kuumia ) labda ajali ambzo zina weza sababisha kidney rupture.
Hizo ni sababu kubwa za Figo kufa. Kumekuwa na ongezeko Kubwa la watu wengi figo zao kufa mbaya zaidi Nephrologist ( ma Dr specialist wa figo wako 7) heshma kwa DR kajiru kanda ya kaskazin
Kwa ulimwengu wa Biashara nafikiri saiv wagonjwa wa Kidney failure ndio wana soko sana kuliko ARVs kwajil process wanayo fanyiwa yaku chuja figo( dialysis ) ina cost Zaid ya laki 5/day na inafanywa mara 3 kwa week mpaka siku yako ya kufa.
Na wasilisha.