Figo ya kulia inasumbua

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
729
Reaction score
555
Wabar zenu

Madaktari naomba mnisaidie, nimeenda kupima nimeambiwa kuna kama ka uvimbe kweny Figo ya kulia, nimesoma kweny mtandao naona kanaitwa kidney cyst...

Kesho ndo nina kwenda kumuona Dokta Leo nimefanya vipomo tu

Napata maumivu nyuma ya mgongo upande wa kulia..ila sio maumivu makal yana kuja na kuondoka

Nimeambatanisha picha apo chini naomba ushauri wenu

Nimekuwa na wasiwasi, naogopa sina raha naomba mnisaidie kunipa ushauri wa kitalamu
 
Kidney cyst ni kama kauvimbe kenye minyoo flan ivi,unaweza pewa dawa labda opereshen sidhani maana si mawe hayo
 
ILA KWA MSAADA ZAIDI, NENDA KAONANE NA HUYO DOCTA, ATAKUSAIDIA

POLE MKUU
 
Kunywa sana maji kati ya lita nne na nusu hadi sita kwa siku, na ujipe muda wa kupumzika, tatizo litakwisha kabisa.
 
Pole sana utapona madktari watakutibu maana ndy kalama yao toka kwa Mungu mwenyezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…