Tony Yeyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 729
- 555
Wabar zenu
Madaktari naomba mnisaidie, nimeenda kupima nimeambiwa kuna kama ka uvimbe kweny Figo ya kulia, nimesoma kweny mtandao naona kanaitwa kidney cyst...
Kesho ndo nina kwenda kumuona Dokta Leo nimefanya vipomo tu
Napata maumivu nyuma ya mgongo upande wa kulia..ila sio maumivu makal yana kuja na kuondoka
Nimeambatanisha picha apo chini naomba ushauri wenu
Nimekuwa na wasiwasi, naogopa sina raha naomba mnisaidie kunipa ushauri wa kitalamu