Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Poleni sanaHabar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote.
Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa akapelekwa hospital akakutwa na presha 220/105 na hajawahi kuugua presha..... wakamreferal MNH, baada ya kufanyiwa vipimo akabainika kuwa figo zote mbili zimefeli.
Wakuu, je presha ya ghafla inaweza sababisha figo kufeli na vipi matibabu yake uwezekano wa kupona!
Sababu zinaweza kuwa ni POISONING. bila yeye mwenyewe binafsi kujua kama amekuwa Poisoned.Habar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote.
Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa akapelekwa hospital akakutwa na presha 220/105 na hajawahi kuugua presha..... wakamreferal MNH, baada ya kufanyiwa vipimo akabainika kuwa figo zote mbili zimefeli.
Wakuu, je presha ya ghafla inaweza sababisha figo kufeli na vipi matibabu yake uwezekano wa kupona!
Kwa maisha ya sasa ni vizuri kuwa na blood pressure machines majumbani watu wengi wana tatizo la pressure ila hawajui , ni vizuri kucheki atleast once a week inaokoa mambo mengi sana ukijua mapema na kuanza kutumia dawa, stroke na figo husababishwa na highblood pressure mara nyingiHabar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote.
Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa akapelekwa hospital akakutwa na presha 220/105 na hajawahi kuugua presha..... wakamreferal MNH, baada ya kufanyiwa vipimo akabainika kuwa figo zote mbili zimefeli.
Wakuu, je presha ya ghafla inaweza sababisha figo kufeli na vipi matibabu yake uwezekano wa kupona!
Ukijua mapema anza dozi upo sahihi mkuuKwa maisha ya sasa ni vizuri kuwa na blood pressure machines majumbani watu wengi wana tatizo la pressure ila hawajui , ni vizuri kucheki atleast once a week inaokoa mambo mengi sana ukijua mapema na kuanza kutumia dawa, stroke na figo husababishwa na highblood pressure mara nyingi
Ndiyo; high blood pressure husababisha uharibifu wa figo na viungo vingine nyeti vya mwili.Habar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote.
Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa akapelekwa hospital akakutwa na presha 220/105 na hajawahi kuugua presha..... wakamreferal MNH, baada ya kufanyiwa vipimo akabainika kuwa figo zote mbili zimefeli.
Wakuu, je presha ya ghafla inaweza sababisha figo kufeli na vipi matibabu yake uwezekano wa kupona!
On pointNdiyo; high blood pressure husababisha uharibifu wa figo na viungo vingine nyeti vya mwili.
Kusema kuwa hajawahi kuugua oressure siyo kweli, kwani high blood pressure siyo ugonjwa, na mara nyingi pressure inaweza kuwa iko juu sana wakati mtu mwenyewe hajui. Ndiyo maana umekuwa unasikia watu wanaanguka ghafla na kufariki kwa sababu. Labda kama alikuwa anapima pressure kila siku na kujiaminisha kuwa kwelie hana high blood pressure; bila vipimo huwezi kusema hajawahi kuwa na pressure. Kama amafikia figo kuharibika, maana yake ni kuwa amekuwa nayo kwa muda mrefu sana.
Kutibu figo zilizoharibika ni ama transplant ya kuwekewa figo kutoka kwa mtu mwingine au dialysis. Tiba zote ni ngumu sana
Pole sana kwa dhahama hii iliyoingia kwenye familia yako