Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Figo zikifeli presha inapanda Sana. Lakini pia presha inaweza kusababisha Figo kufeli. Hapo kilichosababisha presha kupanda Ni kufeli kwa figoHabar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote.
Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa akapelekwa hospital akakutwa na presha 220/105 na hajawahi kuugua presha..... wakamreferal MNH, baada ya kufanyiwa vipimo akabainika kuwa figo zote mbili zimefeli.
Wakuu, je presha ya ghafla inaweza sababisha figo kufeli na vipi matibabu yake uwezekano wa kupona!