Figo zimefeli ghafa umri miaka 37

Figo zimefeli ghafa umri miaka 37

Habar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote.

Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa akapelekwa hospital akakutwa na presha 220/105 na hajawahi kuugua presha..... wakamreferal MNH, baada ya kufanyiwa vipimo akabainika kuwa figo zote mbili zimefeli.

Wakuu, je presha ya ghafla inaweza sababisha figo kufeli na vipi matibabu yake uwezekano wa kupona!
Figo zikifeli presha inapanda Sana. Lakini pia presha inaweza kusababisha Figo kufeli. Hapo kilichosababisha presha kupanda Ni kufeli kwa figo
 
Habar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote.

Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa akapelekwa hospital akakutwa na presha 220/105 na hajawahi kuugua presha..... wakamreferal MNH, baada ya kufanyiwa vipimo akabainika kuwa figo zote mbili zimefeli.

Wakuu, je presha ya ghafla inaweza sababisha figo kufeli na vipi matibabu yake uwezekano wa kupona!
Anzeni kuwa jirani na mgonjwa .... muda umeanza kwenda kwa kasi anahitajika furaha tu sasa hivi ......
 
Pole sana mkuu
Sijui hal ya mgonjwa kwa sasa ila ninavyofaham mm
Presha hiuua ogans nying kwa mfumo wa cheni
Yan presha inaua figo maana maana preaha ikiwa juu ni kuwa mwili hauachii maji na sumu zilizopo mwili [chumvi inang'ang'ania maji mwilini] na ndo maana dawa ya presha mtu akitumia hukojua sana ili mwili upate unafuu.
Presha ikiwa juu inaua ini maana sumu zisipotoka baada ya kuchujwa huathiri ini pia

Anaweza akafanyiwa usafishwaji wa damu na akawa mzima kwa asilimia 100
Inategemea tu figo zimeathirika kiasi gani
 
Mimi nilipata changamoto ya Figo Kwa mda mfupi chanzo ni vidonge vya chanjo ya malaria na malaria yenyewe.
Hawawezi kukusikia.

Wameshaaminishwa kuwa ugonjwa wa figo unasababishwa na moyo, mara ati sijui moyo kuvimba 🥰😂

Hii ni ndoige, ukisimama nchale ukiinuka nchale.

Watakwambia ufanye dialysis utoe mamilioni waendelee kuneemeka huku unajifia poRepoRe.

Cc DR Mambo Jambo
 
Pole sana mkuu
Sijui hal ya mgonjwa kwa sasa ila ninavyofaham mm
Presha hiuua ogans nying kwa mfumo wa cheni
Yan presha inaua figo maana maana preaha ikiwa juu ni kuwa mwili hauachii maji na sumu zilizopo mwili [chumvi inang'ang'ania maji mwilini] na ndo maana dawa ya presha mtu akitumia hukojua sana ili mwili upate unafuu.
Presha ikiwa juu inaua ini maana sumu zisipotoka baada ya kuchujwa huathiri ini pia

Anaweza akafanyiwa usafishwaji wa damu na akawa mzima kwa asilimia 100
Inategemea tu figo zimeathirika kiasi gani
Hapa kuna mauongo mengi sana mpaka yanatisha.

HBP haiwezi kusababisha figo kufeli abadani.

Kinachosababisha figo kufeli ni MADAWA YA BP ambayo wagonjwa wa BP wanameza kila siku.

I see how this is twisted. YAANI NI MAUONGO YA HALI YA JUU MNO.

You are only parroting the lies, haujui hata unachokisema.
 
Habar wakuu..nimerudi kuomba msaada kwenu.. nna ndugu yangu jinsia ya kiume jana majibu yameonesha figo zake zimefeli zote.

Ni hivi huyu ndugu yangu ameanza kujiskia vibaya tangu majuzi kazidiwa akapelekwa hospital akakutwa na presha 220/105 na hajawahi kuugua presha..... wakamreferal MNH, baada ya kufanyiwa vipimo akabainika kuwa figo zote mbili zimefeli.

Wakuu, je presha ya ghafla inaweza sababisha figo kufeli na vipi matibabu yake uwezekano wa kupona!

Poleni sana. Hapo ufumbuzi wa kudumu waweza kuwa kufikiria kumpa figo.
 
Hili suala la hivi karibuni kuwa na utitiri wa case za Figo kufeli linahitaji tafiti mpya katika taifa letu.

Wataalamu wa afya wasijikite tu kwenye majibu ama sababu zilizowazi za miaka mingi. Wachunguze uwezekano wa visababishi vipya.
 
Hapa kuna mauongo mengi sana mpaka yanatisha.

HBP haiwezi kusababisha figo kufeli abadani.

Kinachosababisha figo kufeli ni MADAWA YA BP ambayo wagonjwa wa BP wanameza kila siku.

I see how this is twisted. YAANI NI MAUONGO YA HALI YA JUU MNO.

You are only parroting the lies, haujui hata unachokisema.
Sawa mkuu.
hebu tuelezee inakuwaje basi ili namie nipate kujifunza elimu sahihi. Elimu tu ya namna presha ya kupanda inavyotokea na dawa za presha hufanya nn mwilini.

Natanguliza shukrani
 
Hili suala la hivi karibuni kuwa na utitiri wa case za Figo kufeli linahitaji tafiti mpya katika taifa letu.

Wataalamu wa afya wasijikite tu kwenye majibu ama sababu ziliwazi za miaka mingi. Wachunguze uwezekano wa visababishi vipya.
Hapa jitahidi kuangalia post mortem kadhaa kunakitu utajifunza hasa hivi vifo vya ghafla
 
Hili suala la hivi karibuni kuwa na utitiri wa case za Figo kufeli linahitaji tafiti mpya katika taifa letu.

Wataalamu wa afya wasijikite tu kwenye majibu ama sababu ziliwazi za miaka mingi. Wachunguze uwezekano wa visababishi vipya.
Wachache watakuelewa
 
Back
Top Bottom