Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

Fiji: Nchi inayokaliwa na Watanganyika wa kale

IMG_3928.JPG
 
uongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.
Uwe unafikiria japo kidogo mzee kaaa
 
huwa naona kinazungumzwa sana na hasa NatGeo channel, ila wana mila za ajabu aisee, manake wao na watu a new papua guinea na samoa naona kama sawa tu
hahhaaaaa the kombai tribe from new papua ..... hao jamaa wanavalisha pembe kwenye mashine
 
Utauza ng'ombe,mbuzi,kondoo,kuku na nguruwe wa kijijini kwako wote na bado nauli yako haitatosha.
acha dharau ..kwanza hiyo mifugo mimi naishia kuiona kwa tv tu nakuisoma kwenye vitabu...
 
Yaaa, mimi nilikaa visiwa vya Fiji from 2001 to 2008,kuna eneo linaitwa ABHACHU, yaani lugha yao ni KIHA, ila Wazungu wanawabagua sana, nilirudi bongo kwa kazi maalum. Ikiwa ni pamoja na shule.
Tanzanian in Fiji : Bongo expedition
 
Asante kwa uzi mzuri,mwishoni mwa mwaka jana nilifanikiwa kuongea na mgeni raia wa fiji ,akaniambia asili yao ni hapa Tanzania maeneo ya rufiji,na akasema huko kwao mashuleni wanafundishwa katika somo la historia kwamba asili yao ni Tanganyika,na wananyimbo wanazoziimba mashuleni zikielezea "my origin is Tanganyika"
 
It should be fairly easy to get a good sample space of indigenous Fijians DNA and analyze for common patternin order tolink with a common historical point of origin.

African Americans, albeit with the help of their ancestry being broken for a shorter period of time I guess, do this all the time.

This would help to start to separate myth from fact.

What Your DNA Says About Medieval History
 
Nakumbuka kale kamchezo ka atlas uko shule ya msingi,hii sehemu nilikuwa sikoseagi
hivi siku hizi hawa kayumba wana atlas kweli,atlas lilikua bonge la kitabu unaona ramani vizuri sana,elimu ilikua safi
 
Mabaki ya bufuru la binadamu wa kale kabisa kuishi duniani pamoja na mabaki ya nyayo zake yanapatikana Tanzania sehemu inayoitwa Olduvai Gorge,....
Ukiangalia kwa makini watanzania ni watu wa mwanzo duniani lakini vile vile ni watu wa mwisho duniani,tafakari
Mimi naamini katika hili, ukiiangalia Tanzania na rasilimali zilizopo utafikiri Mungu wakati anaumba Dunia alikuwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom