Acha kufananisha ukarimu wa watu wa Fiji na vitu vya ajabu.
Utauza ng'ombe,mbuzi,kondoo,kuku na nguruwe wa kijijini kwako wote na bado nauli yako haitatosha.daaahh huko pananifaa kabisaa..gharama za kufika huko zikoje aiseeee
Ushamba wako unadhani Fiji ni nchi ya maana.Acha kufananisha ukarimu wa watu wa Fiji na vitu vya ajabu.
Sawa na RufijiWadifji wana ushirikina wa kutisha na tamaduni za ajabu mno
Uwe unafikiria japo kidogo mzee kaaauongo mtupu, ukiangalia hao jamaa, sura zao ni nyeusi lakini nywele zao ni ndefu na laini kama za kihindi, huwezi kusema hao asili yao Tanganyika, hapa hatupo hivyo.
hahhaaaaa the kombai tribe from new papua ..... hao jamaa wanavalisha pembe kwenye mashinehuwa naona kinazungumzwa sana na hasa NatGeo channel, ila wana mila za ajabu aisee, manake wao na watu a new papua guinea na samoa naona kama sawa tu
acha dharau ..kwanza hiyo mifugo mimi naishia kuiona kwa tv tu nakuisoma kwenye vitabu...Utauza ng'ombe,mbuzi,kondoo,kuku na nguruwe wa kijijini kwako wote na bado nauli yako haitatosha.
Tanzanian in Fiji : Bongo expeditionYaaa, mimi nilikaa visiwa vya Fiji from 2001 to 2008,kuna eneo linaitwa ABHACHU, yaani lugha yao ni KIHA, ila Wazungu wanawabagua sana, nilirudi bongo kwa kazi maalum. Ikiwa ni pamoja na shule.
hivi siku hizi hawa kayumba wana atlas kweli,atlas lilikua bonge la kitabu unaona ramani vizuri sana,elimu ilikua safiNakumbuka kale kamchezo ka atlas uko shule ya msingi,hii sehemu nilikuwa sikoseagi
vipi kuhusu ugali?I see, staple food yao wanakula samaki wa nazi, wali, mihogo viazi vitamu na mboga.
Mimi naamini katika hili, ukiiangalia Tanzania na rasilimali zilizopo utafikiri Mungu wakati anaumba Dunia alikuwa Tanzania.Mabaki ya bufuru la binadamu wa kale kabisa kuishi duniani pamoja na mabaki ya nyayo zake yanapatikana Tanzania sehemu inayoitwa Olduvai Gorge,....
Ukiangalia kwa makini watanzania ni watu wa mwanzo duniani lakini vile vile ni watu wa mwisho duniani,tafakari