Habari zenu wana wa JF, kwanza nianze kusema sorry kwa sababu huwa sipendi kufananisha vyuo lakini kwa hili naomba niliseme. Jumamosi ya tarehe 26/11/11 kulikua na mahafali ya 13 ya chuo cha SAUT thn nikamsikia mtu anafananisha chuo hiki(SAUT) na UDSM kwa mazingira na n.k, sasa fikilieni, ni sawa kufananisha chuo chenye miaka 50 na chuo chenye miaka 13.
Naomba niwasilishe hoja
Naomba niwasilishe hoja