Fikilieni wana wa JF

Fikilieni wana wa JF

Piazza jr

Member
Joined
Oct 30, 2011
Posts
70
Reaction score
3
Habari zenu wana wa JF, kwanza nianze kusema sorry kwa sababu huwa sipendi kufananisha vyuo lakini kwa hili naomba niliseme. Jumamosi ya tarehe 26/11/11 kulikua na mahafali ya 13 ya chuo cha SAUT thn nikamsikia mtu anafananisha chuo hiki(SAUT) na UDSM kwa mazingira na n.k, sasa fikilieni, ni sawa kufananisha chuo chenye miaka 50 na chuo chenye miaka 13.

Naomba niwasilishe hoja
 
Kwa mazingira vinaweza kufanana.....ila ungetuambia hiyo n.k ni vitu gani alivitaja ndio tujue.....
 
Wanajifariji. Wanajifanyia promo. Ukweli unafahamika.
 
Fikilieni != Fikirieni
This is education forum rafiki!
 
At this time peope are judged by contents of their brains and the way they use them to make an earth a better place to live.

Mimi sipo SAUT wala ud
 
history never change but a future can be made...mwanzo tulikua hatudhan kama unasoma chuo zaid ya ud koz kilikua ndio pekee chenye ubora..mkubwa kalewa sifa kasahau majukumu ..tubadili mfumo wa mawazo kua kila kitu ud .huko ni kukariri...thnk twice
 
Back
Top Bottom