Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nimeshawahi kuona tafiti mbalimbali na kusoma makala kadhaa zinazodai eti wanaume kwa wastani huwaza kuhusu ngono kila sekunde 7. Sijui kama ni kweli au vipi lakini hivyo ndivyo inavyosemekana.
Sasa jana wakati natoka zangu kazini nikaamua kupitia mall. Nilikuwa naenda zangu kula mbawa za kuku (chicken wings) kwenye lounge iliyopo ndani ya mall kwa sababu sikuwa najisikia kupika. Basi nikafika nikaegesha mchuma wangu halafu huyo nikaingia ndani. Nikala mbawa zangu nilipomaliza nikajiondokea zangu.
Kutoka nje kwenye parking lot nikawa nimesahau nimeegesha wapi gari. Hii huwa inanitokea sana hasa kwenye sehemu zenye parking lots kubwa kama Walmart. Sikutaka kubonyeza panic button kwa sababu inapiga kelele sana. Basi nikaamua kuzunguka tu hapo kwenye parking lot kutafuta nilipoegesha.
Katika zunguka yangu hapo kwenye parking lot nikakutana na mdada aliyekuwa anahangaika kufungua mlango wa gari yake. Nikamsalimu halafu nikajitolea kumsaidia kufungua mlango wa gari yake. Alikuwa mdada maridadi kwelikweli. Kuanzia kichwani hadi miguuni. Halafu alikuwa ananukia vizuri sana hadi nikamwambia 'you smell good' naye kwa tabasamu akasema 'thank you'. Nikafanikiwa kuufungua mlango na akanishukuru sana. Akaniambia anafanya kazi hapo kwenye mall na kama mimi ni mwendaji wa mara kwa mara hapo tunaweza kuonana tena. Basi tukaagana, akaondoka zake nami nikapata nilipoegesha huyo nikatimka zangu.
Sasa muda wote ule pale wakati namsaidia mawazo ya ngono yakanijia. Nikaanza kumpiga picha kichwani mwangu akiwa mtupu na jinsi nitakavyomnanihino. Yaani muda wote wakati niko pale mpaka hivi sasa naandika hap bado namuwaza kingono ngono. Lakini hii si mara ya kwanza au ya pili. Ni kama jadi kwangu kuwaza ngono nimwonapo mwanamke. Hata nikiwa kazini siku akija demu kapendeza basi mawazo ya ngono yananijia. Hivi ni mimi tu mwenye kuwaza ngono muda mwingi au ni kawaida ya wanaume ngono kutawala fikira zao.
Na ninyi kina dada huwaga mnawaza sana ngono?