Exercising frequently ni viagra tosha, kwa kama asilimia 75 hadi 80 ya wanaume. Haya matatizo ya maprofessa uchwara ya kutoa tiba za nguvu za kiume na utumiaji mwingi wa Tadalafil, sildenafil na madawa mengine ya erectile dysfunction isingekuwa necessary. Na ukiwa una exercise mwili wako uko poa, then kwa wanaume mawazo huja na kutoka kama ndege airport. Watu wengine wanaesema hii ndo inasababisha wanaume wawe wepesi kuvunja maagano yao na wana tamaa nyingi. Sijui. Ila kuja mawazo na kutoka mara kwa mara haimaanishi kuwa lazima uwe unatekeleza kila mawazo yanapokuja. Kwanza haiwezekani kufanya hivyo kwa sababu mawazo ni mawazo tu.
Ila suala hili husaidia wakati unapokaribia vitendo vyenyewe kuwa huhitaji kusukumwa, you see you catch you do. Unakuwa tayari muda wowote!! Naona hii ni tofauti kubwa with females ambao mara nyingi anahitaji kuamshwa ndo awe tayari (biological control). Kuwaza nadhani si tatizo, tatizo ni pale inapoingilia shughuli zako za kawaida na kukuletea shida. Au tatizo ni pale inapotokea ukajiona uko kwenye privacy fulani unaamua kurukia kama jogoo (kubaka); naam, watu hufanya hivyo hadi maofisini na huishia kwenye matatizo!! Au tatizo ni pale unapowaza hadi kufikia hatua ya kuwa stressed!! Lakini kama unawaza tu halafu yanaishia huko huko, si tatizo.
Kwa hiyo ni vizuri females tu wakajua bila shaka yoyote kuwa anapokuwa na male ambaye si ndugu yake; then ajue mawazo ya ngono at one point or another yatakuwa on the table. Kwa hiyo suala la kuwa very provocative katika uvaaji, maneno na hata vitendo; wajue inaongeza chumvi kwenye kidonda. Na pengine wakijua hivyo baadhi ya matukio ya rape na rape attempts yanaweza kuepukika.
Men, yes they think about it every now and then!! That's how they are meant to be by the way, otherwise tusingeongezeka duniani.