Huo mgawanyiko uko wapi? Sisi tunajua kuwa kama Mbowe atashindwa basi Chadema itaibuka strong zaidi. Sisi adui yetu ni Mbowe na tumeamua kumtwanga kweli mweliLema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.
Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!
LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Gawaneni mbao kabisaHakuna muda wa kumfichia "madhaifu" Mbowe kwa sasa!
Ni either Lisu ashinde au chama kife!
Ndio ujue watu wamechoka kuongozwa na sultani.Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.
Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!
LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Yani wewe CCM unataka tukuletee Mbowe? Yani unatuonea huruma kuwa tunakiua chama? Basi iko hivi kuliko Mbowe kuendelea kukalia kiti basi na kife tu!Hawa jamaa 4 ni hatari hawana nia njema na CDM; wote kwa matamshi yao yanaonyesha ni watu wa vita na visasi dhidi ya Mwenyekiti Mbowe.
Lissu, Lema, Msigwa na Henche - hivi nyie watu Mbowe kawafanya nini?
Tunaomba muiache CDM ya watanzania - hamna kabisa nia ya dhati ya chama, mnataka kusambaratike ili Mbowe akose na nyie mkose tuamze upya. Yaani mnataka kumkomoa Mbowe.
Wajumbe tunaomba tuondoleeninhawa watu ili mkijenge chama chenu. Mtawaumiza sana watanzania endapo hamtawaondoa hawa jamaa tarehe 21.
Lema apongezwe kwa kuwa mkweli, hicho Chama kilikuwa kina kivuli kilichoficha mengi.Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.
Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!
LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
NI mjinga pekee anaweza kufikiri Lissu anaweza kuiongoza CDM hata kwa miezi sita.Yani wewe CCM unataka tukuletee Mbowe? Yani unatuonea huruma kuwa tunakiua chama? Basi iko hivi kuliko Mbowe kuendelea kukalia kiti basi na kife tu!
Na tutaziita sana. Bado na leo na kesho pia. Sisi shida yetu ni Mbowe na tutadili nae peke yake! Tutamtwanga kweli kweli.Kulikuwa na ulazima wa kuitisha press?
Umeshakwama na Mbowe wako yupo ICU kisiasa na lazima afe tu!NI mjinga pekee anaweza kufikiri Lissu anaweza kuiongoza CDM hata kwa miezi sita.
Wajumbe hebu tuondoleeni hizi vitu vya ajabu.
BOX litaamua, cha msingi msianzishe vurugu tu kama namna mlivyo.Umeshakwama na Mbowe wako yupo ICU kisiasa na lazima afe tu!
Mara chache inabidi kukwangua kidonda ili uweke dawa ya kukiponyesha, .....ni sehemu ya tibaLema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.
Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!
LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Anataka afichefiche mpaka linKwa akili yako we ungeongea maneno gani?
Ulitaka wamjue vipi zaidi ya walivyomjua?Ni bahati mbaya sana watu wengi hawamjui Lema hata kidogo.
Aliuza Ubunge mara mbili? Halafu bado mkamchukua na kumkabidhi tena agombee nafasi ambayo mna ushahidi kuwa aliuza? Ikawaje kwenu hakuuza? Hivi una akili kweli wewe?Lema ni mwanasiasa maslahi aliuza Ubunge mara mbili jimbo la Arusha Mjini wakati huo yuko NCCR Mageuzi.
Kama ni kweli Elimu ya Lema ni ya kuunga uga, basianastahilipogezi nyingi sana. Sababu ya watu kuwa na elimu ya kuunga unga ni sababu ya changamoto wanazopitia.Elimu ya Lema niya kunga unga CDM wallifunika udhaifu wake muda mrefu sana wakati wake wa kuonyesha ujinga wake umewadia.
Kwa nini team Mwamba mnajiona nyinyi tuu ndo wenye haki ya kuongea? Mgombea wenu mh. Mbowe ameshaanya Media tour kwenye mainstream zote za Tanzania katika kipindi cha wiki mbili zilizopita na huko kamsema Lissu kwa mambo mengi na kaongea mambo mengi ya ndani ya Chama. Kwa nini yeye hamsemi kuwa anakoleza moto? Mnataka timu ya Lissu wakae pale wawe wanawaona mnavyowasema tuu bila kuwajibu?Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.
Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!
LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Awe mnafiki kumpendezesha dikteta Mbowe ambaye anang'ang'ana na Uenyekiti mwaka wa 20!Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.
Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!
LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Eti nasikia hiyo tuzo alikuwa kaificha kwenye koti akaibuka nayo ukumbini, hamna mdau aliyekuwa anajua kinachoendeleaš¼Mbowe ameyataka mwenyewe kwa kulewa sifa za Mama hadi kumpa tuzo
Mwana kulitafuta....
Healing wakati kidonda inabidi kitolewe Uchafu??? Mbona umeongea kama kilaza. Kidonda inabidi kitolewe uchafu kiwe safi ndo kianze pakwa dawa.Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.
Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!
LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Unadhani bila dj kua king'ang'anizi haya yote yangetokea?huyo unayemuita dj amekujaje hapa
Mbowe yupo kimya?ina maana huwa humsikilizi akiongea na midomo yake kama kajaza mate? Anaongea pumba sana. Mara aseme alimwachia nyumba Lissu, mara aseme alimlipia Ticket LissuLema,heche,lisu Wote press conference zao ni za kujitutumua zaidi na kumtukana Mbowe ila jamaa yupo kimyaaaaa.