Fikiri kwa kina kabla ya kuitisha press conference kama matamshi yako yatawaleta pamoja au yatawagawanya

Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Huo mgawanyiko uko wapi? Sisi tunajua kuwa kama Mbowe atashindwa basi Chadema itaibuka strong zaidi. Sisi adui yetu ni Mbowe na tumeamua kumtwanga kweli mweli
 
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Ndio ujue watu wamechoka kuongozwa na sultani.
 
Mkuu Chadema haipitii hali yoyote isipokuwa kupanda kwa joto la kisisia ambako haukutarajiwa na ujasiri wa wagombea wa kukabiliana na Mbowe ambao haukutegemewa ndiyo unayoiona na kutafsirika kuwa hali ngumu.

Bila kujali matokeo ya maisha ya chama yataendelea kama kawaida baada ya uchaguzi.
 
Hawa jamaa 4 ni hatari hawana nia njema na CDM; wote kwa matamshi yao yanaonyesha ni watu wa vita na visasi dhidi ya Mwenyekiti Mbowe.
Lissu, Lema, Msigwa na Henche - hivi nyie watu Mbowe kawafanya nini?
Tunaomba muiache CDM ya watanzania - hamna kabisa nia ya dhati ya chama, mnataka kusambaratike ili Mbowe akose na nyie mkose tuamze upya. Yaani mnataka kumkomoa Mbowe.

Wajumbe tunaomba tuondoleeninhawa watu ili mkijenge chama chenu. Mtawaumiza sana watanzania endapo hamtawaondoa hawa jamaa tarehe 21.
Yani wewe CCM unataka tukuletee Mbowe? Yani unatuonea huruma kuwa tunakiua chama? Basi iko hivi kuliko Mbowe kuendelea kukalia kiti basi na kife tu!
 
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Lema apongezwe kwa kuwa mkweli, hicho Chama kilikuwa kina kivuli kilichoficha mengi.
 
Yani wewe CCM unataka tukuletee Mbowe? Yani unatuonea huruma kuwa tunakiua chama? Basi iko hivi kuliko Mbowe kuendelea kukalia kiti basi na kife tu!
NI mjinga pekee anaweza kufikiri Lissu anaweza kuiongoza CDM hata kwa miezi sita.

Wajumbe hebu tuondoleeni hizi vitu vya ajabu.
 
Umeshakwama na Mbowe wako yupo ICU kisiasa na lazima afe tu!
 
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Mara chache inabidi kukwangua kidonda ili uweke dawa ya kukiponyesha, .....ni sehemu ya tiba
 
Ni bahati mbaya sana watu wengi hawamjui Lema hata kidogo.
Ulitaka wamjue vipi zaidi ya walivyomjua?
Lema ni mwanasiasa maslahi aliuza Ubunge mara mbili jimbo la Arusha Mjini wakati huo yuko NCCR Mageuzi.
Aliuza Ubunge mara mbili? Halafu bado mkamchukua na kumkabidhi tena agombee nafasi ambayo mna ushahidi kuwa aliuza? Ikawaje kwenu hakuuza? Hivi una akili kweli wewe?
Elimu ya Lema niya kunga unga CDM wallifunika udhaifu wake muda mrefu sana wakati wake wa kuonyesha ujinga wake umewadia.
Kama ni kweli Elimu ya Lema ni ya kuunga uga, basianastahilipogezi nyingi sana. Sababu ya watu kuwa na elimu ya kuunga unga ni sababu ya changamoto wanazopitia.

Mwingne hali ya uchumi ya wazazi inamazimisha kuunga unga. Mwingine analazimika kujitafutia ili ajisomeshe, huyu lazima apite njia halali anazoweza kuzimudu. Utakuta kuna wakati mambo hayapo sawa, inabidi aahirishe, auahama level nyingine ya elimu.
Kuna mtu anamaliza form 6, anenda chuo, kufika huku mwaka wa kwanza mambo yanayumba. Analazimika kuachana na degree anaenda kutafuta certificate au Diploma, miaka ya mbele anaenda kusoma degree tena.

Finally, wewe na yeye wote mna degree. So usidhani life eas fair and easy kwa kila mtu kama ilivyokuwa kwako.
 
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Kwa nini team Mwamba mnajiona nyinyi tuu ndo wenye haki ya kuongea? Mgombea wenu mh. Mbowe ameshaanya Media tour kwenye mainstream zote za Tanzania katika kipindi cha wiki mbili zilizopita na huko kamsema Lissu kwa mambo mengi na kaongea mambo mengi ya ndani ya Chama. Kwa nini yeye hamsemi kuwa anakoleza moto? Mnataka timu ya Lissu wakae pale wawe wanawaona mnavyowasema tuu bila kuwajibu?
 
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Awe mnafiki kumpendezesha dikteta Mbowe ambaye anang'ang'ana na Uenyekiti mwaka wa 20!
 
Mbowe ameyataka mwenyewe kwa kulewa sifa za Mama hadi kumpa tuzo

Mwana kulitafuta....
Eti nasikia hiyo tuzo alikuwa kaificha kwenye koti akaibuka nayo ukumbini, hamna mdau aliyekuwa anajua kinachoendelea🐼
 
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Healing wakati kidonda inabidi kitolewe Uchafu??? Mbona umeongea kama kilaza. Kidonda inabidi kitolewe uchafu kiwe safi ndo kianze pakwa dawa.
 
Lema,heche,lisu Wote press conference zao ni za kujitutumua zaidi na kumtukana Mbowe ila jamaa yupo kimyaaaaa.
Mbowe yupo kimya?ina maana huwa humsikilizi akiongea na midomo yake kama kajaza mate? Anaongea pumba sana. Mara aseme alimwachia nyumba Lissu, mara aseme alimlipia Ticket Lissu
 
Back
Top Bottom