Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ulitaka awe dilema au kumtetea mtu kimtindo.Angejivika unafiki kamili.Hiyo ndiyo inaitwa being real!Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.
Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!
LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
CDM kimeishiwa watu wenye akili timamu limebaki genge la wahuni tu.Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.
Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!
LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Lema hawezi kuvumilia damu na machozi ya waliojitoa kwa ajili ya Chama alafu hao watu Leo Mbowe anaona hawana thamani, kaamua kutumia Chama kufanya biashara yenye ushirika na CCMLema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.
Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!
LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Too late, Mbowe kaamua mwenyewe kukizamisha Chama kwa vipande vya Fedha kutoka kwa Sa100Hawa jamaa 4 ni hatari hawana nia njema na CDM; wote kwa matamshi yao yanaonyesha ni watu wa vita na visasi dhidi ya Mwenyekiti Mbowe.
Lissu, Lema, Msigwa na Henche - hivi nyie watu Mbowe kawafanya nini?
Tunaomba muiache CDM ya watanzania - hamna kabisa nia ya dhati ya chama, mnataka kusambaratike ili Mbowe akose na nyie mkose tuamze upya. Yaani mnataka kumkomoa Mbowe.
Wajumbe tunaomba tuondoleeni hawa jamaa ili mkijenge chama chenu. Mtawaumiza sana watanzania endapo hamtawaondoa hawa jamaa tarehe 21.
Ad hominem.Ni bahati mbaya sana watu wengi hawamjui Lema hata kidogo.
Lema ni mwanasiasa maslahi aliuza Ubunge mara mbili jimbo la Arusha Mjini wakati huo yuko NCCR Mageuzi.
Elimu ya Lema niya kunga unga CDM wallifunika udhaifu wake muda mrefu sana wakati wake wa kuonyesha ujinga wake umewadia.
Kumwambia mtu kweli ni kumtusi? Mna mentality za CCM mkubwa haàmbiwi kwani, kwenda huko na ujuha wenu.Lema,heche,lisu Wote press conference zao ni za kujitutumua zaidi na kumtukana Mbowe ila jamaa yupo kimyaaaaa.
Yote yameibuka baada ya kusema kweli kuhusu Sultani Mbowe, hamjadili aliyosema mapungufu ya Mbowe ambayo yameenda kinyume cha matarajio ya waliokiamini chama. WapuuziNi bahati mbaya sana watu wengi hawamjui Lema hata kidogo.
Lema ni mwanasiasa maslahi aliuza Ubunge mara mbili jimbo la Arusha Mjini wakati huo yuko NCCR Mageuzi.
Elimu ya Lema niya kunga unga CDM wallifunika udhaifu wake muda mrefu sana wakati wake wa kuonyesha ujinga wake umewadia.
Wa kumshinda Mbowe hayupo! Subiri siku ya uchaguzi tuwapige! CHADEMA haiwezi kuendeshwa na mkimbizi!Na tutaziita sana. Bado na leo na kesho pia. Sisi shida yetu ni Mbowe na tutadili nae peke yake! Tutamtwanga kweli kweli.
Kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwakeLema,heche,lisu Wote press conference zao ni za kujitutumua zaidi na kumtukana Mbowe ila jamaa yupo kimyaaaaa.
Retired, you are really OLD school, Lema alikuwa perfect na kawaunganisha watu, hasa waliokuwa hawajui lolote. Wala hakumtukana Mwamba.Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.
Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!
LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Halitasalia jiwe juu ya jiwe, uovu wote lazima ufunuliwe chama kisafishwe kirejeshe imani kwa wanachama wakeLema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.
Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!
LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
UmepagawaNI mjinga pekee anaweza kufikiri Lissu anaweza kuiongoza CDM hata kwa miezi sita.
Wajumbe hebu tuondoleeni hizi vitu vya ajabu.
UKWELI MWINGINE AMBAO UTAVUNJA NDOA UNAACHA KUUSEMA...lakini kama amesema ukweli basi kuna shida.