Fikiri kwa kina kabla ya kuitisha press conference kama matamshi yako yatawaleta pamoja au yatawagawanya

Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Ulitaka awe dilema au kumtetea mtu kimtindo.Angejivika unafiki kamili.Hiyo ndiyo inaitwa being real!
 
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
CDM kimeishiwa watu wenye akili timamu limebaki genge la wahuni tu.
 
Siasa hazifungamani na ukweli hata sekunde. Wakweli wote kwenye siasa walifeli.

Siasa zinataka mtu muongo muongo, tapeli tapeli, mnafiki mnafiki, mwizi mwizi, fisadi fisadi, mwenye roho mbaya, mshirikina, muuaji, mpenda propaganda, kigeugeu, mjivuni, na Kila aina ya uchafu na makandokando. Wanasiasa wote ni walewale.

Wacha tuone mwisho wake
 
Mafisi ya maccm ya jf yote mko upande wa mbowe ni kwamba huyo mume wenu tumemstukia si mpinzan alikuwa anatulaghai tu imeisha hiyo
 
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Lema hawezi kuvumilia damu na machozi ya waliojitoa kwa ajili ya Chama alafu hao watu Leo Mbowe anaona hawana thamani, kaamua kutumia Chama kufanya biashara yenye ushirika na CCM
 
Hawa jamaa 4 ni hatari hawana nia njema na CDM; wote kwa matamshi yao yanaonyesha ni watu wa vita na visasi dhidi ya Mwenyekiti Mbowe.
Lissu, Lema, Msigwa na Henche - hivi nyie watu Mbowe kawafanya nini?
Tunaomba muiache CDM ya watanzania - hamna kabisa nia ya dhati ya chama, mnataka kusambaratike ili Mbowe akose na nyie mkose tuamze upya. Yaani mnataka kumkomoa Mbowe.

Wajumbe tunaomba tuondoleeni hawa jamaa ili mkijenge chama chenu. Mtawaumiza sana watanzania endapo hamtawaondoa hawa jamaa tarehe 21.
Too late, Mbowe kaamua mwenyewe kukizamisha Chama kwa vipande vya Fedha kutoka kwa Sa100
 
Ni bahati mbaya sana watu wengi hawamjui Lema hata kidogo.

Lema ni mwanasiasa maslahi aliuza Ubunge mara mbili jimbo la Arusha Mjini wakati huo yuko NCCR Mageuzi.

Elimu ya Lema niya kunga unga CDM wallifunika udhaifu wake muda mrefu sana wakati wake wa kuonyesha ujinga wake umewadia.
Ad hominem.
Mpaka hapa Lema ameshinda kwa hoja zake. Amefanikiwa kuonesha usahihi wa alichosema kwa vile umeshindwa kujibu hoja zake unamshambulia yeye binafsi.
 
Lema,heche,lisu Wote press conference zao ni za kujitutumua zaidi na kumtukana Mbowe ila jamaa yupo kimyaaaaa.
Kumwambia mtu kweli ni kumtusi? Mna mentality za CCM mkubwa haàmbiwi kwani, kwenda huko na ujuha wenu.
 
Ni bahati mbaya sana watu wengi hawamjui Lema hata kidogo.

Lema ni mwanasiasa maslahi aliuza Ubunge mara mbili jimbo la Arusha Mjini wakati huo yuko NCCR Mageuzi.

Elimu ya Lema niya kunga unga CDM wallifunika udhaifu wake muda mrefu sana wakati wake wa kuonyesha ujinga wake umewadia.
Yote yameibuka baada ya kusema kweli kuhusu Sultani Mbowe, hamjadili aliyosema mapungufu ya Mbowe ambayo yameenda kinyume cha matarajio ya waliokiamini chama. Wapuuzi
 
Na tutaziita sana. Bado na leo na kesho pia. Sisi shida yetu ni Mbowe na tutadili nae peke yake! Tutamtwanga kweli kweli.
Wa kumshinda Mbowe hayupo! Subiri siku ya uchaguzi tuwapige! CHADEMA haiwezi kuendeshwa na mkimbizi!
 
Tangia lini CDM ikawa na watu wenye akili, chama cha manyumbu kimejaa wapuuzi sana... Ndiyo maana mbowe haoni mtu wa kumuachia uenyekit...
 
Lema ni wa hovyo sababu amesema hadharani kweli jinsi Mbowe alivyo mpungufu. Mapenzi mengine yanapofusha macho, CHADEMA ilipata umaarufu kwa kukemea rushwa na uovu. Leo ili kumuokoa Mbowe tunataka kweli isisemwe, tumeshuka kiasi hiki?

Sasa hoja siyo Lissu hana hekima, mropokaji. Hoja ni Lema kuwa ni wa hovyo. Sababu kwa nini hajamtetea na kuficha upuuzi wa Mbowe, tuzidi kusubiri maana kweli will prevail
 
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Retired, you are really OLD school, Lema alikuwa perfect na kawaunganisha watu, hasa waliokuwa hawajui lolote. Wala hakumtukana Mwamba.
 
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Halitasalia jiwe juu ya jiwe, uovu wote lazima ufunuliwe chama kisafishwe kirejeshe imani kwa wanachama wake
 
..lakini kama amesema ukweli basi kuna shida.
UKWELI MWINGINE AMBAO UTAVUNJA NDOA UNAACHA KUUSEMA.

UMEMKUTA MKE WA FULANI ANA CHEAT, UNAMWAMBIA MUME WAKE,,, UNA BUSARA KWEL?

MAANA CONSEQUENCES ZA KUSEMA ZITAPARAGANYISHA FAMILIA.

UNAWEZA KUMUITA MKE UKAMKANYA KUWA HILI ACHA, NEXT TIME LITAKUPA TALAKA MUME WAKO AKIJUA NA FAMILIA NA WATOTO WAKO WATAPATA SHIDA KWA VILE BADO WADOGO
 
Back
Top Bottom