Fikiri kwa kina kabla ya kuitisha press conference kama matamshi yako yatawaleta pamoja au yatawagawanya

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
 
Lema,heche,lisu Wote press conference zao ni za kujitutumua zaidi na kumtukana Mbowe ila jamaa yupo kimyaaaaa.
 
Ni bahati mbaya sana watu wengi hawamjui Lema hata kidogo.

Lema ni mwanasiasa maslahi aliuza Ubunge mara mbili jimbo la Arusha Mjini wakati huo yuko NCCR Mageuzi.

Elimu ya Lema niya kunga unga CDM wallifunika udhaifu wake muda mrefu sana wakati wake wa kuonyesha ujinga wake umewadia.
 
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!

..kama alichosema ni uongo basi kuna tatizo.

..lakini kama amesema ukweli basi kuna shida.
 
watever, kuna muda wa kunyamaza na muda wa kusema yote mawili i.e whether is ukweli or uongo kuna muda wa kusema
 
Lema kumbe naye ni hovyo! Unaona kuna mgawanyiko wa kukiua chama chako, bado unaita press conference to cut deep the line of disintegration already in place.

Nilitegemea uje na kauli za "healing" the already vivid wounds of disintegration!

LEMA, as a senior leader of chadema, a rationally thinking member of a party, one would expect him to take a different path from the ones taken by Lisu to heal the wounds! Sasa amelikoroga zaidi!
Mkuu ili kidonda kilicho haribika kipone hakina budi kukamuliwa /kukwanguliwa kwanza kabla ya kuanza huduma ya matibabu.

Ni kanuni ya asili/kawaida katika mchakato wa huduma ya matibabu.

Mkuu alichofanya ndugu Lema ni sahihi kwa mustakabali na uhai wa chama chake.
 
Lema,heche,lisu Wote press conference zao ni za kujitutumua zaidi na kumtukana Mbowe ila jamaa yupo kimyaaaaa.
Mkuu mbona una wawekea maneno mdomoni uliowataja??

Wao wenyewe mara kadhaa wamesema wanamheshimu Mbowe, wanathamini mchango wake ila wamemuomba apishe watu wengine nao waongoze!

Hilo ndio tusi/matusi kwa tafsiri yako???
 
Hawa jamaa 4 ni hatari hawana nia njema na CDM; wote kwa matamshi yao yanaonyesha ni watu wa vita na visasi dhidi ya Mwenyekiti Mbowe.
Lissu, Lema, Msigwa na Henche - hivi nyie watu Mbowe kawafanya nini?
Tunaomba muiache CDM ya watanzania - hamna kabisa nia ya dhati ya chama, mnataka kusambaratike ili Mbowe akose na nyie mkose tuamze upya. Yaani mnataka kumkomoa Mbowe.

Wajumbe tunaomba tuondoleeni hawa jamaa ili mkijenge chama chenu. Mtawaumiza sana watanzania endapo hamtawaondoa hawa jamaa tarehe 21.
 
Back
Top Bottom