mwakitundilo
Member
- Aug 15, 2012
- 28
- 7
miaka michache kuna huyu mtu anaitwa fikiri madinda alikuwa akitajwa sana na karibu bendi zote za dansi nchini. siku hizi simsikii akitajwa tena, yuko wapi? kafariki? kafulia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fikiri madinda yupo hai mara ya mwisho nimemuona jana dodoma anaendesha landcruiser mkonga STK sijui ni ya idara gani ya serikali. ni mchangamfu sana kama zamani ila suala la kisu sijui yuko vipi
miaka michache kuna huyu mtu anaitwa fikiri madinda alikuwa akitajwa sana na karibu bendi zote za dansi nchini. siku hizi simsikii akitajwa tena, yuko wapi? kafariki? kafulia?
Alimfauda Aisha(wakati huo Aisha kweli alikuwa Aisha),baada ya akina nani hii ii kufa zile dili zao zikawa kwishney na pesa ikapotea ndio maana humsikii akifagiliwa tena na wanamuziki,si unajua hapendwi mtu ,bali pochi tukwani huyu anaejiita fikiri madinda,fb yupo available sana,ni dreva,maskan yake dom sana san....ni tofauti na huyo unaemuongelea ww?
kwani huyu anaejiita fikiri madinda,fb yupo available sana,ni dreva,maskan yake dom sana san....ni tofauti na huyo unaemuongelea ww?
miaka michache kuna huyu mtu anaitwa fikiri madinda alikuwa akitajwa sana na karibu bendi zote za dansi nchini. siku hizi simsikii akitajwa tena, yuko wapi? kafariki? kafulia?
Nasikia eti Aisha Madinda kahamishia kukata mauno Kanisani!
na huyu mnenguaji Aisha madinda ni ndugu yake?
Awali jamaa alikuwa wizara ya Kilimo kama dereva, kwa kuwa muda mwingi alikuwa na gari, usiku alikuwa akienda kuwabeba wanamuziki wa Twanga na kuwarudisha majumbani kwao, hapo ndipo alipompata Aisha Madinda ambaye alikuwa akiishi naye Sinza, hakuwahi kumuoa zaidi ya kuchapa, mambo yalipokuwa mabaya (fedha banaa) wakatosana na demu.... aaah aaaahNi mke wake )kulingana na habari za mtaani)
Konda wa daladala,
Buguruni - Kariakoo