Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Kwani kuna ubaya gani?
kama big G yenyewe imeisha utamu na umepata karanga chache lakini nzuri kuna haja gani kujiumiza meno mda wote?
Mwambie ale,akichoka ahamie sahani ingine
miye mbona nimechanganyikiwa; sasa mtu akionjesha ikiwa tamu asile? au ateme? Lakini, hata kama ni tamu lakini ya muda si ya kudumu inatosha kumfanya mtu aache chakula cha kudumu? Nadhani hekima ndio iko hapo.
Ulichokua unatafuna kwa muda wote na ulichokwisha gharamia ni Big G ambayo umetema!Hamu yako wewe ni kutafunatafuna muda wote.
Utaonjeshwa tu! Kama tamu uingie gharama kununua za kutosha.Na je ukikuta siyo tamu na Big G ulishatema utakula nini?
Hiyo Big G ya halali (ndoa) au na yenyewe ni chakachuwa(kimada)?
Kama hakuna ndoa ni uzinzi tu, wote sawa, big g na karanga zake, owa haraka.
Sijui nisimamie wapi lakini tuamue kiutu uzima..ladha ya Big G na karanga ni tofauti so far,hivyo km ukitema Big G kwa karanga ya kuonjesha hakikisha unamganda aliyekuonjesha till fuko la karanga linakwisha then experience utakayopata itakusaidia kuonja na flavour ngingine!..Hilo tu!
Hapo kuna options mbili nzuri tu;
1. Unaeza tema bigG yako uigandishe mkononi kwa muda, then unaonja karanga zako kisha unarudisha bigG yako mdomoni!
2. Unaeza tafuna vyote pande tofauti za meno..ila hii ni risky esp. kwa bigG yako!
chagua moja..
Nawasilisha!
Vya kuonja vitamu sana sawasawa na vya wizi
Kwani kuna ubaya gani?
kama big G yenyewe imeisha utamu na umepata karanga chache lakini nzuri kuna haja gani kujiumiza meno mda wote?
Mwambie ale,akichoka ahamie sahani ingine
Anayekuonjesha anataka uhamie kwake na siyo kuendelea kuonja tu. Bado hujatoa suluhisho
Kuigandisha mkononi sijui kama kiafya ni sawa! Kutafuna zote kwa wakati mmoja ni hatari utachakachua! Utakosa vyote
Ngoja tuendelee lupokea mawazo
Kweli kabisa karanga za kikapu taamu balaa hata big G natema tu kan niniKaranga nyingine taaaam ajabu, kama zile tunazokula mtaani zinapitishwa kwenye kikapu, halafu za moto saaana