WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Karanga nyingine taaaam ajabu, kama zile tunazokula mtaani zinapitishwa kwenye kikapu, halafu za moto saaana
Hii mada ni hatari!'
Hivi zile karanga za kikapuni zinakuwa moto muda wote..nini siri yake jamani?
Tausi unajua hii siri?