WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Karanga nyingine taaaam ajabu, kama zile tunazokula mtaani zinapitishwa kwenye kikapu, halafu za moto saaana
Umenichekesha sana Speaker lol!
Utahamia sahani ngapi?
Vya kuonja vitamu sana sawasawa na vya wizi
Kumbe ehh! Nilikuwa sijui kama vya wizi ni vitamu.