mdanganyika__
Member
- Dec 12, 2018
- 12
- 34
Mtu mmoja aliwahi kusema "Ukishindwa kuwaondoa marafiki wanaokuangusha au kukutoa katika mstari kwa sababu ya hofu ya kuachana nao basi kesho utajilaumu kwanini umeshindwa kutimiza ndoto zako kwa kuendelea kung'ang'ania Kuwa nao".
Katika Maisha yako kuna baadhi ya vitu unavyoving'ang'ania vitakukwamisha kutimiza malengo yako.kuna baadhi ya watu usipokubali kutengana nao utapata tabu sana.Lazima ukubali kujitenga nao kama unategemea Kuwa bora kuliko ulivyo sasa.
Kuna watu ambao wanafikiri mambo hasi katika kila kitu(toxic people).Hawa ni watu hatari sana katika Maisha yako. Watakukwamisha sana uking'ang'ania kuendelea Kuwa nao. Ni watu wenye kukatisha tamaa katika kila jambo. Ni watu waliojaa majitu katika kila kauli zao. Wanakunyonya Nguvu kwa kukupa maneno ya kukukatisha tamaa, chunga sana.
Kuna baadhi ya tabia ambazo unaziona za kawaida na unaziishi bila kujua zinazuia jitihada zako zisizae matunda. Umezoea ukipanda daladala halafu ikatokea kuna MTU amekosa siti unashindwa kuinuka uufike. ie kiti akae ili kutengeneza nidhamu binafsi(self discipline),Wakati huo huo unapambana uwe na self discipline, ndugu yangu utahangaika sana.
Nidhamu binafsi inahitaji uende kinyume na mazoea unayoyaishi.
Kuna baadhi ya vitu inabidi uache kuvitumia kwa ajili ya future yako.Kuna baadhi ya vyakula inabidi upunguze au uache kabisa kuvitumia ili uwe na Afya njema. Kwa mfano unywaji wa vinywaji kama soda,ni hatareee sana kwani inatabia ya kufyonza madini ya calcium mwilini hivyo mifupa kuvunjika kwa urahisi.
Kuna baadhi ya Maeneo unatakiwa uache kuyatembelea ili kutengeneza mazingira ya kujiandaa na future yako.Acha mambo ya starehe zisizo za msingi.
Punguza Kufanya mambo yasiyo ya msingi Katika Maisha yako, Acha kujihusisha na Michezo ya kubahatisha maana utaliwa pesa tu halafu what comes easy won't last long, Jifunze Kufanya kazi za namna mbalimbali, jenga ujuzi wa kimaisha, ishi vizuri na watu.
Ili upate USHINDI unaoutarajia lazima ukubali kuvaa silaha zinazoendana na maono na ndoto zako.Moja ya silaha ni kukubali kuacha baadhi ya vitu ili upate vipya.Badili mtazamo wako katika mambo mbalimbali, angalia unakokwenda, badili mbinu- Fanya machaguo na maamuzi sahihi ili ufike unapotaka.