Changer 22
Member
- Jul 29, 2022
- 11
- 5
Inafahamika kwamba wazazi hasa wa Kiafrika huwa na mitazamo juu ya maisha ya watoto wao kuanzia elimu mpaka makuzi ya watoto wao ndio hutoa taswira ya maisha ya mtoto.
Lakini kwa upande mwingine wazazi wengi wa Kiafrika hasa waliyokulia kwenye nyakati za ukimaliza shule utapata kazi, hawaamini katika ndoto na kipaji cha mtoto hivyo hupelekea ndoto za vijana wengi kuishia kwenye elimu ya nadharia tu zaidi ya vitendo.
Kumbusho tu kuwa kwenye Karne ya 21 na kuendelea wanaofanikiwa zaidi ni wale wanaojua Karne ya 21 unataka nini na wafanye nini ili waishi kwenye mwanzo wa karne ya techologia na kipaji.
Wazazi badilikeni hasa kwenye mitizamo yenu juu ya ndoto za watoto wenu.