Elimu huchochea maendeleo makubwa mno katika jamii lakini elimu bila pesa kizazi cha sasa ni sawa na kofia ya chuma inayopata moto nyakati za jua la utosi, Enyi kizazi cha sasa tubadilike tusichukue ya wahenga yote kwani mengi yameharibiwa na teknolojia pamoja na usasa elimu tunayopata mashuleni ni nzuri sana katika kumfanya mtoto ajitambue yeye ni nani na anapaswa kufanya nini lakini sio urithi wa kumtoa katika kiza kizito cha maisha magumu kwasababu inaweza kuwa na kandili gizani yamkini huna kibiliti utashindwa kupata mwanga na nuru.
Wahenga walisema ulithi kwa mtoto ni elimu tu, kizazi kipya tunatakiwa tuongeze na yakwetu kwamba ulithi wa mtoto ni elimu na mtaji wa biashara kwasababu elimu tumeshapewa kwani wahenga walinena methari hii kwasababu wasomi walikua wachache, tunahitajika kwenda na nyakati na teknolojia sasa ni wakati wa kukuza uchumi wazazi tunatakiwa tuumie ili vizazi vyetu visiteseke serikali ni sisi tunaweza kupindua elimu tuache kuwakalilisha vizazi vipa miji mikuu ya nchi bali tuwakalilishe namna ya kufanya biashara na maeneo ya masoko na uzalishaji hii itasaidia kupata kipato na sio kukuza upeo wa kufikiria tu kama wahenga walivyotupima
Huu ni wakati wa mapinduzi ya elimu tunatakiwa tuifanye elimu kuwa fupi kwa kusoma mambo mengi yasio na msaada kwa muda mrefu hembu tazama mtoto kaingia vidudu hadi elimu ya sekondari ya juu hana ujuzi maarumu anaingia mtaani hata hawezi kuitumia elimu kwasababu hana ubobezi kwanini elimu ya juu isiwe na miaka mingi na tukapunguza kupoteza muda chini.
Haiwezekani kusoma elimu moja mara mbili kwa lugha mbili tofauti haya ndio matokeo mabovu ya kupata wakandarasi wachini kwani ujuzi tunachukua kwa siku moja na siku saba hatueleweki katika ubobezi wa elimu, viongozi wa serikali sio kama hawaoni ila wanaogopa kutumia gharama na kupata hasara huyu sio kiongozi tuliokua tunamtaka kiongozi lazima awe jasiri kama simba hata akinguruma tunajua ndio mkuu kaongea.
Elimu ni bora ila sio kila elimu ni bora, huwezi fundisha namna ya kutengeneza perememde wakati unajua haina watumiaji na soko lake limekifa, elimu ni ghali basi tuendane na uthamani wake enyi wazazi kisasa mtoto lazima apate elimu pia na mtaji wa pesa kwa ajili ya maisha, inasikitisha sana wahitimu wa elimu ya juu wanavyosemwa vibaya watu wakidhani kwamba ukiwa na elimu kubwa ni pesa rahasha kinachowasaidia ni kuwa na mkondo mkubwa wa watu kizazi kipya cha wazazi wenye upeo waliwatunzia hadhina mbili elimu na kiendeshwa kwa elimu.

Upvote
1