Fikra tamanifu za makamanda

Hatua za mabadiliko sio lazima zikamilike vile unavyotaka wewe.na pia sio lazima zikamilike kwa wakati unaotaka wewe.Na pia sio lazima ukamilike wewe ukiwepo.
 
mawazo tamanifu [wishful thinking] = ningezaliwa kwenye familia ya Reginald Mengi(RIP) nisingekuwa hivi!
mawazo halisi = kama Bakhresa aliweza kwanini mimi nishindwe!
mawazo halisi= kwani CCM walitoka mbinguni, kwanini na sisi chadema hatuwezi kuwa na taasisi imara kama CCM badala ya kuwa saccos ya Mbowe
mawazo halisi= kama kura zinaibiwa basi ni ujinga wetu kwanini tusibuni mbinu ya kudhibiti wizi huu
 
CC mama D
 
Kwa synthesis analysis ya political events kwa Tanzania ya leo na joto lake la kisiasa kumpeleka Ngosha ICC unaweza kuamsha civil war, kwa kuwa kuna zaidi ya mikoa 8 au nusu ya Watanzania wakaona wanakuwa persecuted. Yaani ndugu yao kutawala imekuwa nongwa.

Inataka muono wa mbali kuweza kuona baadhi ya mambo muhimu kitaifa unapotaka kuyafanya.

Tusishangae Chadema kufutika au kupata msukosuko maeneo ya Mikoa ya, Mara, Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, Tabora, Katavi, Rukwa, Kagera part of Kigoma, part of Songwe, part of Singida.

Hata huyo Armterdam hapati ushauri makini.
 
Mkuu Nyani Ngabu,

You nailed right on the aorta the spear that may cause sentiments suffocation thereby he who hears and sees may immediately consult the psychiatrist for the current mental stampede by a few critics for a temporary comfort.
 
Mkuu Nyani Ngabu,

You nailed right on the aorta the spear that may cause sentiments suffocation thereby he who hears and sees may immediately consult the psychiatrist for the current mental stampede by a few critics.
Ouch!!
 
Mhenga umemaliza kazi hapo👍
 
Si makamanda wote wa chadema tunawaza hivyo, kuna ambao tunajielewa hatuwezi kuwaza ujinga kama huo.
Mimi nipo tofauti na wao, na hili tatizo la kutamani yasiyowezekana limefika hadi kwa viongozi wakuu wa chama.
Hongera.
 
Maoni yako ni sahihi kabisa.

1. Ili mashtaka yawe na uzito ICC ni lazima yawe na sifa ya kuwa 'serious concern for Int' community'. Sasa hawa wanaoshabikia ICC wapime haya wanayoyaita uhalifu kama yanafit mzania huo. Wajiulize pia kwanini mabalozi wote walitoa wito wa 'mamlaka za nchi kushughulikia'. Jambo la Muhimu kukosekana kwa muitikio wa watz kwenye maandamano iliepusha mtego wa 'matumizi ya nguvu za dola' ambao ungetengeneza mazingira ya serious crime against humanity-ambalo ndio wangeshtakiwa nalo kina siro. Ndio maana Lissu alikuwa na wimbo wa kuingiza watu barabarani.

2. CDM & ACT are solving the wrong problem. Tatizo sahihi ni 'uwepo wa vyama vingi katika mazingira ya kisheria yanayopendelea chama tawala'. Zama za CCM 'kula na kipofu' kwa kuwaachia upinzani baadhi ya majimbo, hazipo, walipaswa kulisoma hili 2019 kwenye LG election(ambao kimsingi hutoa uelekeo wa G Election). Kuendelea kulobby kwenye corridors za int' agencies is to solve a wrong problem.
 
Mbona naona wewe unateseka sana kuliko hao makamanda ??

Thread ya ngapi hii ??

Nchi hii ina watu milioni 60 lakini mijitu imekomaa CHADEMA CHADEMA CHADEMA CHADEMA CHADEMA CHADEMA.

Kweli Mibongo ni mibongo tu.

Takataka
 
Makamanda wanahitaji ushauri wa kisaikoloji!
 
Kama Jiwe hatapelekwa huko wewe unaumia nini? Pili anayepangwa kupelekwa ni Jiwe na wala siyo wewe so kufanikiwa au kufeli kwa Jambo hilo sidhani kama lina uhusiano na wewe.
 
Tusishangae Chadema kufutika au kupata msukosuko maeneo ya Mikoa ya, Mara, Mwanza, Shinyanga, Geita, Simiyu, Tabora, Katavi, Rukwa, Kagera part of Kigoma, part of Songwe, part of Singida.
Wewe huelewi kitu. Huko ulikotaja hilo lichama la kikoloni halitakiwi kabsaa. Fanya utafiti kidogo ulete mrejesho
 
Sidhani kama Ufipa watakuelewa!
Umaskini mbaya sana sana sana
Mkuu najua maisha yanakusumbua sana

Kwa wataalamu wa saikolojia wanafahamu namaanisha kitu gani

You are done and you are out of DSM regime
 
Taabu taabu ,matatizo matatizo

Hakuna anayekufahamu ccm

Unapiga maneno tu,Tafuta pesa mkuu

Hizi nyuzi hazitambuliki ccm,mnajifurahisha tu hakuna anayekufahamu chamani

Pole sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…