Fikra za kimasikini kutumia pesa hivi kwa magari!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
1670044487093.png

Yaani pamoja na kuwa na magari ya bei rahisi kuna sababu gani ya serikali kutumia pesa yote hii kwenye magari?
 
View attachment 2434095

Tatizo family background za viongozi wetu wa siasa, ogopa kutawaliwa na mtu alie toka kwenye familia duni ya kimasikini lazima akiingia madarakani lazma afidie mateso alio pitia, kwa mfano viongozi wa Japani hawawezi kutumia hayo magari japo wanayategeneza wenyewe.
 
Haya mambo ndiyo yanakatisha tamaa hata kulipa kodi kwa hiari haiwi uzalendo bali unajiona mjinga.

Ukinunua mzigo mkubwa hardware kwa sasa muuzaji atakunong'oneza,"Naomba basi tuihujumu serikali Boss wangu kwenye risiti".

Ni wachache sana wanakataa.
 
Kuna mahali kwenye vichwa vyetu hapako sawa na huu Ni ugonjwa wa kurithishana iwe kwa kuona au kusikia.
 
Tatizo family background za viongozi wetu wa siasa, ogopa kutawaliwa na mtu alie toka kwenye familia duni ya kimasikini lazima akiingia madarakani lazma afidie mateso alio pitia, kwa mfano viongozi wa Japani hawawezi kutumia hayo magari japo wanayategeneza wenyewe.

hizi story hazina uhalisia,jk mtoto wa zuria jeupe balaa lake unalijua???
 
Kwenye utawala alikua peke yake nakuambia hivi adui wa masikini ni masikini mwenyewe sio mwenye pesa........sisi masikini tuna taabika kwasabb viongozi wetu wengi walitoka kwenye familia za kimasikini
 
View attachment 2434095

Yaani pamoja na kuwa na magari ya bei rahisi kuna sababu gani ya serikali kutumia pesa yote hii kwenye magari?
CCM haijali kabisa shida za wananchi wa chini. Elimu ya hovyo, huduma za afya za hovyo, hali mbaya ya uchumi.... wao wao busy na kufanya anasa na ufisadi wa mali za umma.

Nayakumbuka sana maneno ya humphrey Polepole akijisifia raha za Vii eyiteee
 
Ni kutaka sifa maybe na kilicho bora ingawa wanatakaga viongozi waonekane ndio watu wa juu zaidi wenye hadhi
 
iyo ni kununua tu bado kujaza mafuta na speed yanyo tembezwa 150-190km/h.na bado service naadereva wetu fukia mashimo hswa.Gharama yake kwa mwaka ichi nzima utastuka!
 
View attachment 2434095

Yaani pamoja na kuwa na magari ya bei rahisi kuna sababu gani ya serikali kutumia pesa yote hii kwenye magari?
Kwenye gharama hii unayoiongelea wewe hapa, kunaweza kukawa na off-set inayotokana na fedha ambayo Serikali huwa inazipokea baada ya kuwa ime-dispose-off kkwa kuwauzia raia, magari yale ambayo inaacha kuyatumia, kwa maana kwamba:

Magari yale ambayo Serikali huwa wanaacha kuyatumia, huwa wanauzia watu raia kwa bei nafuu mno na yakiwa bado yako kwenye hali nzuri mno kwa sababu inakuwa iliyanunua yakiwa brand new

Kwa kufanya hivyo, Serikali huwa inawasaidia wanachi wake kununua magari mazuri kwa bei nafuu, magari ambayo kama wangeagiza nje, wangeweza kutumia fedha nyingi mno, pengine kuzidi hata hii ambayo Serikali huwa inatumia

Kwa hiyo katika hili unaweza ukakuta kuwa gharama wanayotumia Serikali kununua magari, kwa kiasi kikubwa sana huwa ni ruzuku kwa watanzania ambao huwa wanabahatika kununua magari ya Serikali ambayo huwa yanakuwa disposed-off baada ya Serikali kuwa imenunua magari mengine mapya
 
Watanzania tuna utamaduni wa kuongea vitu bila data! Hizo data ziko wapi? Hapa tunaongea facts sio vitu ambavyo ni mawazo maana tunaongelea vitu halisi. Tuambie hiyo minada imefanyika lini, wapi na kwanini pesa haijatangazwa na CAG
 
Inawasaidia wananchi mafisadi na mabwanyenye waliopo serikalini sio mimi na wewe.

Wewe huwezi kununua hizo gari hata utambike uchi.
 
Kama hujawai kuipanda Toyota LCv8
Lazima tu uwashangae wanaotumia pesa ndefu Sana kumnunua uyo mnyama[emoji39]
 
Inawasaidia wananchi mafisadi na mabwanyenye waliopo serikalini sio mimi na wewe.

Wewe huwezi kununua hizo gari hata utambike uchi.
Issue ya kwamba nani kauziwa na nani hajauziwa, hilo sasa linakuwa ni swala jingine tena, ila hatuwezi kusema kuwa kuna hasara kwenye ununuzi wa magari hayo, hapana hasara haipo isipokuwa badala yake kuna faida
 
Watanzania tuna utamaduni wa kuongea vitu bila data! Hizo data ziko wapi? Hapa tunaongea facts sio vitu ambavyo ni mawazo maana tunaongelea vitu halisi. Tuambie hiyo minada imefanyika lini, wapi na kwanini pesa haijatangazwa na CAG
Hakuna tena minada siku hizi? I used to hear minada's even at my place of work. Nani tena ameiiba minada hii tumtafute na tumshughulikie kisawasawa?
 
Billion 558 kununulia magari tena mapya lakini vichwa vya treni na mabehewa kununua vyuma chakavu kuvikarabati na kutia nakshi. 🤔
Kwamba Bibi kizee anavalishwa nguo mpya aonekane kijana?
 
Back
Top Bottom