Fikra zangu juu ya karne zijazo

Dunia sehemu nyingi imechakaa sana na hii inachangiwa kiasi kikubwa Na ongezeko la watu.
 
Ugwe uli gwa ku_myutu kwa Kyela....!: 279892"]Jambo ulilolieza hapo ni copyright na kijijini kwetu, miaka ya 90 kijiji kilikuwa kama kisiwa yaani maji ni mengi tulikamata samaki hadi kwenye mashamba ya mpunga tukiwa vijana wadogo. Watu wakivuna mpunga hadi waliamua kusaga mchele huo huo ili uwe unga na kupika ugali kwa kukosa mahindi, leo hii hata mahindi yanakauka kwa kukosa maji. Ninashangaa sana asee.[/QUOTE]
Ugwe uli gwa ku_myutu kwa Kyela....!
 
Utundu tunyambanike_Lukajapo ulutengano kangi.
o ulilolieza hapo ni copyright na kijijini kwetu, miaka ya 90 kijiji kilikuwa kama kisiwa yaani maji ni mengi tulikamata samaki hadi kwenye mashamba ya mpunga tukiwa vijana wadogo. Watu wakivuna mpunga hadi waliamua kusaga mchele huo huo ili uwe unga na kupika ugali kwa kukosa mahindi, leo hii hata mahindi yanakauka kwa kukosa maji. Ninashangaa sana asee.[/QUOTE]
Utundu tunyambanike_Lukajapo ulutengan kangi.
 
The uncertainty of life on earth.
 
Mimi sishangai naumia.
 
KARNE ZIJAZO,DUNIA ITAKUWA KIJIJI ZAIDI,ALAFU HUENDA UCHAWI UKARUHUSIWA KATIKA LAVEL ZA SAYANSI ILI KUKIZI MAHITAJI NA MATAKWA YA KIPINDI HIKO,MFANO USAFIRI WA UNGO UNAWEZA UKAPEWA KIPAUMBELE ZAIDI,PIA MAISHA HALISI YA BINADAMU WA SASA YATABADILIKA KWA KIASI KIKUBWA,KUTAKUWA NA MATAJIRI WENGI YANI KUTAKUWA NA UFAFADHALI WA MAISHA KULINGANA NA KIPINDI HIKI,

PIA WATU ATAPENDA ANASA SANA NA KUMSAHAU MUNGU,WAPENZI WA MAPENZI YA JINSIA MOJA WATAKUWA WENGI PENGINE HUENDA ROBO TATU YA WAKAAZI WA DUNIA KIPINDI HIKO WATAKUWA NI WASHIRIKA WAAMINIFU WA MAPENZI YA JINSIA MOJA.

iTAKUWA KAWAIDA MWANAUME KUOLEWA NA MEN MWENZAKE,HII INATOKANA NA DUNIA ITAKUWA HURU AIDI BILA YA HOFU NA MUNGU,KUTAIBUKA NA DINI NYINGI ZAIDI BILA KUISAHAU MANABII WENGI NA MANASABA (WALE WA KIISLAMU kama nimekosea kuwaita mnisamehe) AMBAO WATAJIFANYA NAO WAMETUMWA NA MUNGU.HUENDA KUTAKUWEPO NA MTU ATAKAYEJIFANYA YEYE NDIYE MUNGU NA WATU WENGI WATAAMINI HASA WAZUNGU

PIA KUTAKUWA NA DAWA ZA KARIBU MAGONJWA YOTE SUGU YA SASA ILA KUTAKUWA PIA NA MAGONJWA MENGINE SUGU ZAIDI YA WAKATI HUU,UONEVU UTAKUWA NI MWINGI ZAIDI KUTAKUWA HAKUNA UPENDO KATI YETU KWA KUWA KILA MTU ATAKUWA NA PESA ZA KUJIKIMU WALAU KWA KILA JAMBO,KUUWANA ITAKUWA NI JAMBO LA KAWAIDA KWA KIGEZO CHA KUJILINDA.

HESHIMA KWA WAKUBWA NA WADOGO ITAKUFA MIONGONI MWAO,JUMBA ZA IBADA ZITAKOSA WATU KAMA AMBAVYO HIVI SASA BAADHI YA NCHI ZA ULAYA WATU HAWAENDI TENA KATIKA NYUBA ZA IBADA,WALE WATAOJARIBU KUELEZA UKWELI JUU YA MAMBO WATAPOTEZWA KATIAK ULIMWENGU AU KUFUNGWA MIDOMO.

KUTAKUWA NA USTARABU WA USONI ULIOFICHA UNYAMA WA MOYONI,AFRIKA ITABAKI TUPU KIMALIASILI,MAREKANI ITAZIDI KUWA POWERFUL COUNTRY KWA SABABU HIVI SASA ANAJILIMBIKIZIA UTAJIRI WOTE WA DUNIA,REJEA MADINI ANAYOMILIKI AMBAYO AMEYAHIFADHI NCHINI KWAKE NI ZAISI YA MAILIONI YA TANI ZA MADINI,PIA MAFUTA NA GESI,TAIFA TETEZI KWA WANYINGE URUSI NA CHINA ZITAFUTILIWA MBAILI AU KUTENGWA NA DUNIA

KIWANGO CHA MAJI BAHARINI KITAONGEZEKA MARADUFU,PENGINE KWA HAPA TANZANIA BAHARI INAWEZA KUSOGEA HADI MAENEO YA KARIAKOO MSIMBAZI AU BUGURUNI KABISA,UONGOZI UTARUDI WA KIFALME KARIBU DUNIA NZIMA KWANI MWENYE PESA NDIO ATATAWALA ZAIDI,

WAAMINI WAZURI WA DINI NA WAHUBIRI INJILI IWE WAKIISLAMU AU KIKRISTO WATAFUNGWA NA KUNYONGWA NA KUWAACHA WALE WANAHUBIRI KWA KUPOTOSHA,JUA LITAZIDI KUWA KALI ZAIDI YA HIVI SASA,USIKU NA MCHANA UTAPUNGUA ,BINADAMU WA AJABU WATAZALIWA NA HII NIKUTOKANA NA MADAWA WATAKAYOLISHANA KIPINDI HIKO,REJEA MATUKIO YA HIVI SASA YA WATOTO KUZALIWA WAKIWA NUSUNUSU,KIPINDI HIKO WATAKUWA WENGI ZAIDI.

MWANAMKE ATAKUWA NA KAULI YA MWISHO DUNIANI(YEZEBEL) ATAANZIA HAPO, PAMOJA NA YOTE HAYO LAKINI BAA LA NJAA NA UKAME VITAKUWA SEHEMU YA DUNIA IJAYO,HIVYO PESA ITAKAYOKUWEPO WAKATI HUO HAITAWEZA KUFANIKISHA MAMBO YOTE WALAU KAMA KIPINDI HIKI TUANVYOFANYA,WATU WATAISHI UMRI MREFU ZAIDI WENYE MATESO NA SHIDA.

NA NDIO KATIAK KIPINDI HIKO PIA ROHO OVU NA ZITENDAZO MAAJABU ZITAJITOKEZA WAZIWAZI NA KUANA KUISHI NA WATU REJEA MWANZO KABISA NILIPOSEAM UCHAWI UTAKUWEPO

HAYO NA MENGINE MENGI YATAANZA KUTIKIA MUDA SI MREFU KUTOKA WAKATI HUU,VEMA TUKASHTUKA NA KURUDI NYUMA KWA KUTUBU NA KUMRUDIA MUNGU ILI GHASIA HII IKIJA BASI TUJUE KUWA TUNANAFASI YA KWENDA PARADISO
 
Kuna line zingine umeandika mambo yanayoweza au yamekwisha kuanza kutokea na line nyingine umeandika "fantasy".
 
Duuh umejitahidi kuchambua.but.unazungumziaje uwepo wa viumbe kama aliens.viumbe hawa wanatembea kutoka mfumo mmoja wa jua hadi mwingine.huoni kuwa watu kama elites man.wanaweza kuja kupata uwezo na kutengeneza vyombo kama vya aliens na pale itakapotokea maangamizi kupitia hiyo nibir waweze kukimbia kwenda mifumo mingine ambayo ina maisha
 
Jamani swala la aliens ni tata. tuongeleeni maswala ya eicher kama mabadiliko ya kiutawala(communism...,capitalism....)
 
Nikuulize unaamini/ ulishawahi kuonana na alien, nafahamu taarifa nyingi kuhusu aliens ila sinaproof.
Ndo utata ulipo hapo.
Sijawahi mkuu.but naomba uniambie kipindi cha usiku ni vinini huwa vinapita juu angani kwa kasi ya ajabu na kupotea?
 
Katika dude hili linaloitwa ulimwengu.kuna viumbe wa aina nyingi.viumbe hawa wanatofautiana fikra.hivyo ubunifu wetu tuliopo duniani ni tofauti na hawa jamaa.vivo hivyo huenda wapo wenye uwezo mkubwa zaidi ya aliens .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…