Fikra zangu juu ya karne zijazo

Fikra zangu juu ya karne zijazo

Katika dude hili linaloitwa ulimwengu.kuna viumbe wa aina nyingi.viumbe hawa wanatofautiana fikra.hivyo ubunifu wetu tuliopo duniani ni tofauti na hawa jamaa.vivo hivyo huenda wapo wenye uwezo mkubwa zaidi ya aliens .
So you are implying wapo lakini hawatutafuti, wanatukwepa why is that? I did a bunch of research on aliens but all I could come up with was "conspiracy theories.... conspiracy, conspiracy" hivyo sina hakika na viumbe waliopo angani mara utasikia area51, mara bermuda triangle, mara message from other species mara SETI yani no solid evidence.
 
kutakuwa na ongezeko kubwa sana la matumizi ya vidonge kuliko sasa..mfano ukijisikia njaa unameza vidonge vyenye kufanya kazi mwilin sawa na ugali au chai,ukitaka kula embe unanunua kidonge chenye content zote za embe.pia watazaliwa watanzania wasichna warembo sana na wavulna wazuri kuliko wa sasa..
Wewe ndo umenena. Alafu siku hizi kila mtu akijifungua unakuta mtt mzuri
Hata kama wazazi walikua Kawaida
 
Nimepata mawazo kupitia aya hii, wengi walikuwa wakiuliza kuhusu sayari zilizibakia zina kazi gani?, kwamfano mars, jupiter, venus nanyenginezo naweza sema kuwa wale watu walioangamizwa walikuwa wanaishi katika hizo sayari na kila walikuwa wakiangamizwa sayari inatengenezwa nyengine wanahamia kwengine mpaka ikafikia sayari ya dunia ambayo tupo viumbe sisi tulipo (Earth) so sayari hizo zilienda kwa series mpaka watu wakafanikiwa kuziona sayari 9 ktk solar system tukiacha zile maicro planet, kwamfano watu walioangamizwa watu wa Nabii Luti, Salah, Nuhu na wengineo, katika dunia ya sasa imeonekana kuchomoza kwa kitu ambacho wanakinasibisha na sayari (nibur au planet x) hivo basi kutokana na uovu wa mwanadamu kupitiliza, sayari ya nibur /planet x inakuja kuchukua nafasi ya Sayari ya dunia (Earth) since sayari X itakuja na maangamizi katika sayari ya dunia na kupelekea kupotea viumbe vyote vilivyopo dunia na sayari ya dunia itakuwa ni somo kama sayari nyengine
Stori za kusadikika
 
Hayo unayosema kuwa ipo siku mvua itanyesha kubwa sikweli.hayo yalishatokea toka enzi za nuhu.hivyo kinachoenda kutokea kwa dunia ni kubadilika na kuwa jiwe kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi.
Nafikiri inawezekana jangwa kuwa kijani siku moja
 
binadamu hana muda mrefu humu duniani jiulize ulipokuwa mdogo huko kijijini kuna mimea na wanyama ulikuwa ukiwaona ila siku hiz hawapo wameenda wapi
 
Back
Top Bottom