Fikra zangu juu ya karne zijazo

Katika dude hili linaloitwa ulimwengu.kuna viumbe wa aina nyingi.viumbe hawa wanatofautiana fikra.hivyo ubunifu wetu tuliopo duniani ni tofauti na hawa jamaa.vivo hivyo huenda wapo wenye uwezo mkubwa zaidi ya aliens .
So you are implying wapo lakini hawatutafuti, wanatukwepa why is that? I did a bunch of research on aliens but all I could come up with was "conspiracy theories.... conspiracy, conspiracy" hivyo sina hakika na viumbe waliopo angani mara utasikia area51, mara bermuda triangle, mara message from other species mara SETI yani no solid evidence.
 
Wewe ndo umenena. Alafu siku hizi kila mtu akijifungua unakuta mtt mzuri
Hata kama wazazi walikua Kawaida
 
Stori za kusadikika
 
Hayo unayosema kuwa ipo siku mvua itanyesha kubwa sikweli.hayo yalishatokea toka enzi za nuhu.hivyo kinachoenda kutokea kwa dunia ni kubadilika na kuwa jiwe kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi.
Nafikiri inawezekana jangwa kuwa kijani siku moja
 
binadamu hana muda mrefu humu duniani jiulize ulipokuwa mdogo huko kijijini kuna mimea na wanyama ulikuwa ukiwaona ila siku hiz hawapo wameenda wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…