Filamu gani ya kutisha Ilikubamba sana enzi hizo?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Habari wakuu,

We can all agree that michezo ya television for now imepoteza taste kabisa si kama zamani. Enzi zile hadi wazazi walikua wakifuatalia michezo hii.

1. Saladini

1720099778058.png

2. Jumba la Dhahabu

1720099871532.png

3. Insyuka
1720099935913.png
1720099935913.png

4. White Maria

1720100848116.png
 
kuna ile ya jini kabula sijui mtu akatofolewa kifua akatolewa moyo halafu akaula!,ukiangalia vyema ule haukuwa moyo ni andazi!!, sema nini nsyuka inavutia inapoanza jamaa linachomoka kutoka kwenye kaburi haloo hizi mutu zilinifanya nisitumwe ndani usiku peke yangu!.
 
Jamaa muongo kishenzi eti andazi 😂 😆 😄 😅
 
Wana forum...naombeni msaada natafuta sehemu ya kwenda kufanyia field nipo chuo cha Taifa Cha usafirishaji (NIT)mwaka wa kwnza kozi ya human resources management nimejarbu kupelka barua sehemu mbalimbali nimekosa wengne hawapokei kabsa vijana wa field,na field n mwezi huu wa Saba tarehe 29 ndo tunaanza. Mwenyw anaweza kunisaidia tafadhari 🙏
 
Nsyuka ulikuwa movie ya Kiboya Sana ,Ila ilitisha sana miaka ile
Nilikuwa naogopa sana ikifika night !
 
kuna ile ya jini kabula sijui mtu akatofolewa kifua akatolewa moyo halafu akaula!,ukiangalia vyema ule haukuwa moyo ni andazi!!, sema nini nsyuka inavutia inapoanza jamaa linachomoka kutoka kwenye kaburi haloo hizi mutu zilinifanya nisitumwe ndani usiku peke yangu!.
Graphics tu
 
Wana forum...naombeni msaada natafuta sehemu ya kwenda kufanyia field nipo chuo cha Taifa Cha usafirishaji (NIT)mwaka wa kwnza kozi ya human resources management nimejarbu kupelka barua sehemu mbalimbali nimekosa wengne hawapokei kabsa vijana wa field,na field n mwezi huu wa Saba tarehe 29 ndo tunaanza. Mwenyw anaweza kunisaidia tafadhari 🙏
Njoo DM
 
Back
Top Bottom