Filamu gani ya kutisha Ilikubamba sana enzi hizo?

Roho sita,,chite hukaye na ile ya Nigeria billionaire nini sjui skumbuki vzur.
 
Broo nashindwa namna ya kuja DM hap jamii
Kijana gusa jinaa lake kisha yatakuja maneno follow na starting conversation nendaa hapo kwenye start conversation na utapelekwa moja kwa moja kwenye inbox 📥 📥 yake
 
Tayari nimejua asnte broo
 
Nakushauri acha chuo.
Ukiwa unasema jambo basii mpee na ushahidi na evidence za kutosha 😂 😂 😂 kwann aache chuo ,, na umpe elimu ya kutosha ya kujikwamua huko kitaaa mtoto wa watu mda huoo hanaa boom tenaa sasa wala capital

Waache vijana wasome japo tupunguzee ujinga kdg na kuongeza rate ya wenye degree hata kama zitakuwaa unproductive.
 
👍Broo
 
Hapana kama unaweza kunielkeza hapo jamii forum namna gani ya kumfata mtu dm nisaidie
Ubinafsi wa kijinga tu, kuwa na elimu si kujua kila kitu. Anyway cha kufanya click hilo jina la huyo jamaa itafunguka kama hivi hapo chini. Click hapo palipoandikwa start conversation.
 
Attachments

  • Screenshot_20240705-083602.png
    Screenshot_20240705-083602.png
    74.2 KB · Views: 4
Ubinafsi wa kijinga tu, kuwa na elimu si kujua kila kitu. Anyway cha kufanya click hilo jina la huyo jamaa itafunguka kama hivi hapo chini. Click hapo palipoandikwa start conversation.
Poa kaka shukran
 
Ukiwa unasema jambo basii mpee na ushahidi na evidence za kutosha 😂 😂 😂 kwann aache chuo ,, na umpe elimu ya kutosha ya kujikwamua huko kitaaa mtoto wa watu mda huoo hanaa boom tenaa sasa wala capital

Waache vijana wasome japo tupunguzee ujinga kdg na kuongeza rate ya wenye degree hata kama zitakuwaa unproductive.
Naamini hato utilia maanani ushauri wangu
 
Back
Top Bottom