King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sasa King kuna movie ngapi ambazo watu wanasema "Yes Sir" jamani? Embu kumbuka kitu kingine, hata jina la m(wa)shiriki.
Sasa King kuna movie ngapi ambazo watu wanasema "Yes Sir" jamani? Embu kumbuka kitu kingine, hata jina la m(wa)shiriki.
Au ile "SHAMBA KUBWA" jambazi kuu alikuwa anaitwa Gambino??
Inaitwa: "Born to kill"
Na mimi natafuta movie moja ambayo ndani kuna m dada aliyevaa sketi!!!!!
born to kill...jamaa yupo depo anateseka sana na afande wake!
daa thanx man maana we mtu wa pili unasema hivyo na huo ufafanuzi wako ni kweli wapo depo na jamaa anateseka sana ngoja niitafute kwa jina hilo
haiitwi born 2 kill inaitwa full metal jacket jamaa anamuua kiongozi wa depo chooni akiwa na mashine cjui aka ile au m16 ile nahisi kisha anajiua
inaitwa FULL METAL JACKET
Habari wadau wa JF,
Kuna filamu niliiona zamani sana miaka ya 2000 hv na nikaipenda sasa nimeikumbuka nataka ni-idownload sema siijui tittle yake.
Inahusu:
Askari mmoja hiv alikua lazy sana wakati wa mafunzo ya kijeshi,mda mwingi wakati wa mazoezi yeye ni wa mwisho akawa anateswa sana na mkuu wao,kuna baadhi ya maneno anasema "yes sir" mwishoni iliishia alimuua kiongozi wake chooni na yeye akajilipua,ina tittle kama ya soldier hv ebu wadau wa ma-movie nisaidieni
Naona wadau tayari wameshakufahamisha jina lake, Full Metal Jacket
Full Metal Jacket (1987) - IMDb
Mimi mwenyewe nilikuwa naipenda sana mpaka ringing tones kwenye simu ziliweka za sinema hiyo
Audio files unaweza kuzi-download hapa: Full Metal Jacket Sounds