Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mr. Bones/gwaragwara
Gods must be crazy
Kuna movie moja ya jack chain sijui inaitwaje
Hapa kwetu bongo tuna Shamba KubwaHizô za Zamani Sana Mkuu.
Nilizozitaja Sasa hivi ni habari ya Mjini za Mwaka huu na Mwaka jana
Wanajitahidi, siku hizi Nigeria wamepotea. Soko la filamu Afrika sijui liko wapi sasa hivi.
Nakuunga mkono mdau
Thanks for sharing ,nitazitafuta.Kwema Wakuu!
Nje na kuandika na kusoma vitabu na Makala mbalimbali. Ninapenda Sana kuangalia Filamu.
Kwa Hapa Afrika nimejikuta nikivutiwa na Filamu za Afrika ya Kûsini.
Nigeria wanakibarua kizito Kwa washindani waô yàani South Africa.
Kaangalie vyuma vifuatavyo Kutoka Bondeni alafu uje Hapa kunishukuru:
1. King of Johannesburg ( Joburg)
2. Savage Beauty
3. Queen of Sono
4. Fatal seduction
5. Shaka Ilembe.
Ukipata Muda fuatilia vyuma hivyo.
Uje unishukuru
Movie za SA ni world class movies. Movie za Nollywood hazina tofauti kubwa na Bongo Movies kuanzia story hadi mambo mengine ya kiufundi.
mimi najua Isidingo na mr bones labda😅
Thanks for sharing ,nitazitafuta.
Mama Mu na wewe ni mpenzi wa movie..Nakuunga mkono mdau
Kuna movie nyingi sana SA wametoa.
Halafu quality ya movies zao kama Hollywood, jamaa wapo vizuri sana..
nimeona zote hapo kasoro moja ni za netflix,
nimeona zote hapo kasoro moja ni za netflix,
kwahiyo, kuna jambo