mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Yeap sio uumbaji tu. Yaani uumbaji wa mwenyezi Mungu. Vigezo na masharti kuzingatiwa.Nadhani hali ya hewa..
😂 Mkuu umeona usikubali movie tu, ukubali na uumbaji...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeap sio uumbaji tu. Yaani uumbaji wa mwenyezi Mungu. Vigezo na masharti kuzingatiwa.Nadhani hali ya hewa..
😂 Mkuu umeona usikubali movie tu, ukubali na uumbaji...
Yeap sio uumbaji tu. Yaani uumbaji wa mwenyezi Mungu. Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Inaitwa "Who am i"Mr. Bones/gwaragwara
Gods must be crazy
Kuna movie moja ya jack chain sijui inaitwaje
JerusalemaKwema Wakuu!
Nje na kuandika na kusoma vitabu na Makala mbalimbali. Ninapenda Sana kuangalia Filamu.
Kwa Hapa Afrika nimejikuta nikivutiwa na Filamu za Afrika ya Kûsini.
Nigeria wanakibarua kizito Kwa washindani waô yàani South Africa.
Kaangalie vyuma vifuatavyo Kutoka Bondeni alafu uje Hapa kunishukuru:
1. King of Johannesburg ( Joburg)
2. Savage Beauty
3. Queen of Sono
4. Fatal seduction
5. Shaka Ilembe.
Ukipata Muda fuatilia vyuma hivyo.
Uje unishukuru
Jerusalema
Am all girls
Home wrecker
Losing lerato
Kuna hiyo fatal seduction ni noma sana bwana Mdogo Jacob anavyojipigia lishangaz na binti yake kwa wakat mmoja!!
Shida ya movies nyingi za sauzi zinasupport sana hizi mambo za LGBTQ na ni karibu kila movie nnayo icheki lazma iwe na hizi mambo
Shaka ilembe noma can't wait for season 2 sijui kama itakuwepo?ila Queen Modjaji nayo ilikua nzuri lakini sio kama Shaka ilembe
Inaitwa "WHO AM I"?Mr. Bones/gwaragwara
Gods must be crazy
Kuna movie moja ya jack chain sijui inaitwaje
Lakini wasouth wana rangi nzuri Sana Kuliko mataifa mengi sijui hua wanakuaje, wana watoto watamu hatari
Mkuu umenifanya nimecheka peke yangu mpaka watu wamehisi mimi chiziHapa kwetu bongo tuna Shamba Kubwa
Interesting
Hiyo queen of Sono kuna kipande walikuja kuigizia zenji, huwezi amini walifunga baadhi ya njia za kuingia kwenye soko la spices na wakawalipa maduka yote yaliyoathirika na ufungaji huo. Halafu walikuwa wanarudia sana kila action ili wapate kitu bora zaidi. Asubuhi hadi jioni wanaweza kutengeneza scene mbili tu. Wenzetu wapo juu sana kwenye utengenezaji wa movie.Kwema Wakuu!
Nje na kuandika na kusoma vitabu na Makala mbalimbali. Ninapenda Sana kuangalia Filamu.
Kwa Hapa Afrika nimejikuta nikivutiwa na Filamu za Afrika ya Kûsini.
Nigeria wanakibarua kizito Kwa washindani waô yàani South Africa.
Kaangalie vyuma vifuatavyo Kutoka Bondeni alafu uje Hapa kunishukuru:
1. King of Johannesburg ( Joburg)
2. Savage Beauty
3. Queen of Sono
4. Fatal seduction
5. Shaka Ilembe.
Ukipata Muda fuatilia vyuma hivyo.
Uje unishukuru
Episode 1 ndîo imepigwa ZenjHiyo queen of Sono kuna kipande walikuja kuigizia zenji, huwezi amini walifunga baadhi ya njia za kuingia kwenye soko la spices na wakawalipa maduka yote yaliyoathirika na ufungaji huo. Halafu walikuwa wanarudia sana kila action ili wapate kitu bora zaidi. Asubuhi hadi jioni wanaweza kutengeneza scene mbili tu. Wenzetu wapo juu sana kwenye utengenezaji wa movie.