Filamu kali za mwaka 2022

Filamu kali za mwaka 2022

Ni series ya kikorea ni ya Mwaka 2019 naungana na wewe ni Kali mno kuanzia story yenyewe mpaka mtiririko wake kiujumla.Ni moja Kati ya series Kali niliyowahi kuiyona ya kikorea ndungu yangu tafuta HIZI ni Kali mno tena zaidi ya hiyo moja inaitwa "Innocent defendant" hii ndio kwangu best korean drama of all time na nyingine inakwenda kwa jina la Watcher
Asante sana mkuu, Barikiwa.
 
Hizi ni moja ya filamu zilizobamba mwaka huu

1. Silverton siege 2022 filamu imechezwa south africa moja wapigania uhuru wanaiteka bank kubwa ndani ya hiyo kuna mtoto wa kigogo mkubwa na ni supervisor wa hiyo wanaiteka lakini hawaibi fedha shida yao kubwa ni nelson mandela aachiwe movie inaisha twist moja ya kibabe sana naipa rate 7/10

2. Uncharted 2022 ndani yupo tom holland na Mark wahlberg wamekiwasha kweli kweli ni hivi kuna meli ilikwama kipindi cha wakoloni ndani ya hiyo meli kuna dhahabu za kutosha kama wakizipata basi watakuwa matajiri lakini si wao bali kuna watu wengine wanahitaji hizo safari inakuwa ndefu sana kuna usaliti mwingi sana humu lakini ni adventure movie bora kabisa rate 8/10

3. Death on the nile 2022
4. See for me
5. The Batman
6. Black light
7. Spider man no way home
8. The dog
9. The weekend away
10. Borrego

Hizi baadhi ya movie zilizobamba mwaka huu
Thanks for sharing
 
Asante sana kwa ku-share. Nimejaribu kuperuzi kwenye ''king'amuzi'' changu chenye channels zote kali kutoka sehemu mbalimbali duniani na nimezikuta karibu zote. Inshaalah, weekeend nitaziangalia.
 
Naitafta movie moja hivi inaitwa 𝐒𝐍𝐎𝐖 𝐀𝐍𝐃 𝐏𝐈𝐄𝐑𝐂𝐄𝐑, 𝐢𝐧𝐚𝐡𝐮𝐬𝐮 𝐡𝐚𝐛𝐚𝐫𝐢 𝐲𝐚 𝐭𝐫𝐞𝐧𝐢 𝐢𝐬𝐢𝐲𝐨 𝐬𝐢𝐦𝐚𝐦𝐚 𝐧𝐚 𝐢𝐧𝐚𝐛𝐞𝐡𝐞𝐰𝐚 1000, 𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐭𝐫𝐞𝐧𝐢 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐬𝐞𝐫𝐢𝐤𝐚𝐥𝐢 𝐦𝐛𝐢𝐥𝐢 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢𝐫𝐢 𝐧𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐚𝐬𝐢𝐤𝐢𝐧𝐢,
𝐇𝐢𝐢 𝐧𝐢 𝐛𝐨𝐧𝐠𝐞 𝐥𝐚 𝐦𝐨𝐯𝐢𝐞
 
Back
Top Bottom