kwi kwi kwi umenikumbusha mbali kwelikweli, si tulikua tunazamia kwa mzee sud said massoud yani unaskilizia kwa nje ukiskia kamlio ka tv unawah getini, mama alikua anatunyuka kwelikweli lakini wapi,kesho tunazamia tena ukute muvi la Amitha batchan au mithun chakarabot harudi mtu nyumbani siku hiyo.Sarafina Kipindi hicho kijijini kulikuwa na video kwa mtendaji wa kijiji tu. Inabidi kwenda kutizama, umeoga na kupiga mswaki Wakubwa tunakaa kwenye viti watoto chini Baada ya movie kuisha inapitishwa karatasi ya maswali Tunapewa mtihani Ukikosa, hakuna kuja kuangalia tena siku ingine.
In the line of Duty
They call me trinity
Diamonds are forever
The A team
The good the bad and the ugly
Hang them high
Laurel and hardy
First blood
Vampire
Miami vice
Shawn shank redemption
Home alone
Boys n the hood
Best man
Never die alone
The wood
Inter the dragon
Set it off
In the line of Duty