Baba lao ni Delta Force 3....the killing game.... Russians and Americans wameungana....lakini conflicts kibao.... Nice throw.... Nice catch[emoji13] [emoji13]THE DELTA FORCE.
Sio Mchezo.
Chuck Norris ana Pikipiki inatema Makombora Nyuma na Mbele.
Ndani ya BEIRUT hiyo.
Watekaji Nyara, Wanaiteka Nyara Ndege ya Abiria iliokuwa ikielekea NYC, kituo cha kwanza ndani ya Rome, ITALY, na kulazimisha Chombo kipelekwe BEIRUT.
Wanawaachia huru Watoto na wakina MAMA, wanabaki na wakina BABA.
Nisiumalize uhondo kwa wale ambao hawajabahatika kuingalia.
Nna hakika hawatojuta, kwa jinsi TAMBARA lilivyokuwa kali.
Hili Bonge la Tambara
Kiongozi, hukumaanisha NERIA ile ya Zimbabwe.Nelia
Yellow Card
MamaeeSarafina
Kipindi hicho kijijini kulikuwa na video kwa mtendaji wa kijiji tu.
Inabidi kwenda kutizama, umeoga na kupiga mswaki
Wakubwa tunakaa kwenye viti watoto chini
Baada ya movie kuisha inapitishwa karatasi ya maswali
Tunapewa mtihani
Ukikosa, hakuna kuja kuangalia tena siku ingine.
Upo vizuriThey call me trinity
Diamonds are forever
The A team
The good the bad and the ugly
Hang them high
Laurel and hardy
First blood
Vampire
Miami vice
Shawn shank redemption
Home alone
Boys n the hood
Best man
Never die alone
The wood
Inter the dragon
Set it off
Hivi naweza kupata wapi movie ya LOHA yenye quality nzuri japo kidogo wakuu? Hii movie naitamani sana niliiona enzi za 90s....asante sana kwa kumbukumbu mkuuFirst Blood... Sylvester Stallone
Loha.... Ya kihindi hiyo...
War bus nayo ya muda mrefu..
Za James Bond nyingine si za muda mrefu... Labda za Sean Connery...