Filamu kali zilizotamba kipindi hiko.

Filamu kali zilizotamba kipindi hiko.

THE DELTA FORCE.

Sio Mchezo.

Chuck Norris ana Pikipiki inatema Makombora Nyuma na Mbele.

Ndani ya BEIRUT hiyo.

Watekaji Nyara, Wanaiteka Nyara Ndege ya Abiria iliokuwa ikielekea NYC, kituo cha kwanza ndani ya Rome, ITALY, na kulazimisha Chombo kipelekwe BEIRUT.

Wanawaachia huru Watoto na wakina MAMA, wanabaki na wakina BABA.

Nisiumalize uhondo kwa wale ambao hawajabahatika kuingalia.

Nna hakika hawatojuta, kwa jinsi TAMBARA lilivyokuwa kali.

Hili Bonge la Tambara
Baba lao ni Delta Force 3....the killing game.... Russians and Americans wameungana....lakini conflicts kibao.... Nice throw.... Nice catch[emoji13] [emoji13]
 
Muogo mchungu,

Kigodoro cha Pemba by mZee Kessy.

Kiluilui cha baharini by Jimmy Kelly
 
Tafuta Detonator ya Winsley Snipes... Au Payback ya Mel Gibson.... Utaenjoy[emoji12] [emoji12]
 
Nelia
Yellow Card
Kiongozi, hukumaanisha NERIA ile ya Zimbabwe.

Kama ni hiyo, kwa kweli inasikitisha sana.

Mjane NERIA anavyonyanyaswa na Shemeji yake.

Kwenye Mirathi Shemeji wa NERIA hakutaka Shemejie aambulie chochote, pamoja ya kuwa Marehemu Mdogo wake ameacha Mke na Watoto wawili.

Filamu hii inasikitisha sana
 
Sarafina
Kipindi hicho kijijini kulikuwa na video kwa mtendaji wa kijiji tu.
Inabidi kwenda kutizama, umeoga na kupiga mswaki
Wakubwa tunakaa kwenye viti watoto chini

Baada ya movie kuisha inapitishwa karatasi ya maswali
Tunapewa mtihani
Ukikosa, hakuna kuja kuangalia tena siku ingine.
Mamaee
 
They call me trinity
Diamonds are forever
The A team
The good the bad and the ugly
Hang them high
Laurel and hardy
First blood
Vampire
Miami vice
Shawn shank redemption
Home alone
Boys n the hood
Best man
Never die alone
The wood
Inter the dragon
Set it off
Upo vizuri
 
First Blood... Sylvester Stallone

Loha.... Ya kihindi hiyo...

War bus nayo ya muda mrefu..

Za James Bond nyingine si za muda mrefu... Labda za Sean Connery...
Hivi naweza kupata wapi movie ya LOHA yenye quality nzuri japo kidogo wakuu? Hii movie naitamani sana niliiona enzi za 90s....asante sana kwa kumbukumbu mkuu
 
Back
Top Bottom