Filamu kali zilizotamba kipindi hiko.

Filamu kali zilizotamba kipindi hiko.

First Blood... Sylvester Stallone

Loha.... Ya kihindi hiyo...

War bus nayo ya muda mrefu..

Za James Bond nyingine si za muda mrefu... Labda za Sean Connery...
 
1. Not without my daughter
2. Bangkok Hilton
3, Midnight Run
4. Red heat (Schwarzeneger na James Belushi)
5. lethal weapon
6. Kulikuwa na Mr T, Michael Dudickorf, Fred Williamson, Angela Mao henzi hizo
7.Iron Angel
8. Bruce lee Vs Chuck Norris (TItle way of the Dragon?)
9. American Cyborg (it was one hell of a movie)
10. Blood sport
11. Snake and the monkey shadow lol
12. Ashanti
13. Allan Quarteman
14. Dundee
15. Papillon ( Very sad story)
16.The Gods must be crazy
17. Coming to America
18.Golden Child
 
Amar, akbar, antony
terminator
predator
never say never
die another day+ james bond zote, ZA AMITHA NIMEZSAHAU MAJINA, DISCO SANCER YA MITHUN,DANCEDANCE MITHUN"LOL NTAJAZA SAVER
 
Tarzan ndio filamu yangu ya kwanza kuiona siku padre alipohamia hapa kijijini nasi ndio tulikuwa tunampangia viti katika nyumba yake iliyokuwa jirani na kanisa na palikuwa na jenereta. Asante yake watoto tuliona picha ya Tarzan zaidi ya mara 2 hadi tukasahau kula.
 
1. Not without my daughter
2. Bangkok Hilton
3, Midnight Run
4. Red heat (Schwarzeneger na James Belushi)
5. lethal weapon
6. Kulikuwa na Mr T, Michael Dudickorf, Fred Williamson, Angela Mao henzi hizo
7.Iron Angel
8. Bruce lee Vs Chuck Norris (TItle way of the Dragon?)
9. American Cyborg (it was one hell of a movie)
10. Blood sport
11. Snake and the monkey shadow lol
12. Ashanti
13. Allan Quarteman
14. Dundee
15. Papillon ( Very sad story)
16.The Gods must be crazy
17. Coming to America
18.Golden Child

duuuh...umenikumbusha mbaali sana..kuhusu Mr T
 
1. Saturday night fever-John Travolta.2.Shani-Amitabh bachan.3.Kaalia-Amitabh.4.DISCO DANCER-Mithun. 5. The bodyguard-Whitney Huston 6.Mukadar ka sikandar-Amitabh. 7. Live and let die-Sean cornel,james bond.

kuna wheels fire.
 
Amrish khapur ndo alikua jambazi katika kila movie ya kihindi enzi hizo
 
Hatya by Govinda na Neelam maarufu kwa jina la Yaya,ilikuwa lazima ulie ukiiangalia!
Star wars
Dokyaid ya kihindi!
Police story-Jackie Chan
Lucky seven
Kick boxer
Terminator
Kuli -Amitah bachan
Ninja three domination
Sakula killers
 
Aisee umenikumbusha mbali sana, Terminator,
Loah, double impact ,warbus, phantom 7, scorpion , delta force 1 and 2,hardway .
 
Aisee umenikumbusha mbali sana, Terminator,
Loah, double impact ,warbus, phantom 7, scorpion , delta force 1 and 2,hardway .
THE DELTA FORCE.

Sio Mchezo.

Chuck Norris ana Pikipiki inatema Makombora Nyuma na Mbele.

Ndani ya BEIRUT hiyo.

Watekaji Nyara, Wanaiteka Nyara Ndege ya Abiria iliokuwa ikielekea NYC, kituo cha kwanza ndani ya Rome, ITALY, na kulazimisha Chombo kipelekwe BEIRUT.

Wanawaachia huru Watoto na wakina MAMA, wanabaki na wakina BABA.

Nisiumalize uhondo kwa wale ambao hawajabahatika kuiangalia.

Nna hakika hawatojuta, kwa jinsi TAMBARA lilivyokuwa kali.

Hili Bonge la Tambara
 
Back
Top Bottom