BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Ningepewa fursa ya kuchagua generation ipi niishi basi chaguo langu lingekuwa kuz 1880 - kuf 1960 maana huu utandawazi uchaniacha salama nimekuwa mtumwa ili kuendana na kasi ya maisha ya karne ya 21.
Turudi kwenye mada. Filamu hutuburudisha na pia hutufundisha lakini kwa trend ya filamu za Hollywood, sasa ni wazi kuwa zimechoka kutufundisha na kuamua kutumia nguvu kubwa kutuharibu kwa kutumia maStar wenye ushawishi.
Hii ni mifano halisi ya filamu zinazopendwa ila zina maudhui ya kuharibu jamii:
- Game of Thrones
- Shameless
- Banshee
- Power
- Empire
Hizi zote zina maudhui ya ngono tena ya jinsia moja ( Ushoga & Usagaji) na pia ndio series vijana tunazozikubali zimejaa kwenye flash na PC zetu.
Naomba kukiri:
Filamu za Hollywood zimenifanya nione baadhi ya aya mambo ni kawaida lakini kiuhalali sio ya kawaida kama.
1. Kuzama chumvini
2. Ngono kinyume na maumbile.
3 Ushoga na Usagaji
4. Kuwa na mahusiano na aliyezidi umri (age is just a number)
Cha muhimu sisi (mimi na wewe) kama jamii tukubali kuwa tupo kwenye dunia yenye uovu tunahitaji kujiupgrade kimwili na kiakili tuweze kupambana na uovu tusije kuangukia kwenye utumwa wa dhambi kwa kuona ndio usasa.