Filamu na maigizo ya Hollywood yanaiharibu dunia

Filamu na maigizo ya Hollywood yanaiharibu dunia

Swali. Je mtu akikuletea tamaduni mpya kwenye jamii yako bila kujali hicho kitu yeye kaanza kukifanya lini kwako hakiwezi kuwa kipya???

Nimekubali kuwa aya mambo yapo toka enzi na ndo maana mungu aliamua kutumia manabii ili kuyapunguza lakini pamoja na jitihada zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa bado wenzetu maproducer, maActor na maActress wa Hollywood wameamua kuungana na kutumia vipaji vyao na kwa kupitia teknolojia kutuaminisha kuwa Yale yaliyopingwa kale ni sahihi kuyafanya.

Kupinga ukweli hakufanyi uongo uwe sahihi najua wewe mwenyewe kwa nafsi yako unajua kipi ni sawa na kipi sio sawa bila kujali ni watu wangapi wanakifanya.
huyo Mungu alopinga ni Mungu huyu wa hao wazungu au Mungu wa kiafrika!?.
Kwanza unachopaswa tambua ili kusema kitu flani ni kibaya inabidi urudi kwenye mizizi kabisa na kuchimbua, sasa wewe unasema ustaarabu wa kuoana wakubwa na wadogo mbaya wakati huo unatumia Mungu wa kizungu, huoni unajicontradict!!..
Hutakiwi sema wazungu wametuletea utamaduni mbaya wakati Mungu unayemuamini na kumlilia ni wao pia, mkatae na yeye basi!.
 
Kwa hiyo yanayofanya kwenye filamu za Hollywood ni maagizo toka kwa mungu? Ndo maana inabidi tuyakubali. Naomba nikukumbushe Dunia hii ina upande wa giza sio kila kinachotokea kimeratibiwa na mungu kuna mipango ya kishetani (devil's work).. Turudi kwenye mizizi ni mizizi ya wapi iliyohalalisha niliyoyataja?
 
Ni kweli aya mambo yalikuwepo toka enzi lakini ukubwa wa jambo kipindi hicho uwezi kuufananisha na sasa ukweli ni kuwa hizi filamu zinaangaliwa na namba kubwa ya watu na kawaida kila mtu kuna Jinsi anavyolipokea jambo ila kwa nature yetu wengi tunatabia ya kujaribu mambo mapya tena especially tunapowaona watu tunaowakubali wanafanya hayo tunajipa greenlight kuyafanya bila kujali matokeo so point itabaki vilevile kuwa filamu za Hollywood zimekuwa kichochea kikubwa kwa aya mambo kutendeka kwa kasi bila ya kujali yalikuwepo toka enzi na enzi.
mzee hivi unajua sir godi kaipiga mara 2 dunia lakini wahuni hawajakoma!.
1. sir godi akashusha mvua dunia nzima (gharika kuu), kipindi hiko watu wanakula mpaka za mijusi!.
2. sir godi anaamua choma miji miwili yotee (sodoma na gomora) usifanye mchezo ujue!.
Wewe ni nani kuja sema sasa hivi maadili yamepungua wakati yapo ya kutosha!. Nakwambia ungezaliwa kipindi cha sodoma na gomora yanayofanyika saa hii ungesema hiiii hawa nao wanajikuta wamechafukwa!.😂
 
Kwa hiyo yanayofanya kwenye filamu za Hollywood ni maagizo toka kwa mungu? Ndo maana inabidi tuyakubali. Naomba nikukumbushe Dunia hii ina upande wa giza sio kila kinachotokea kimeratibiwa na mungu kuna mipango ya kishetani (devil's work).. Turudi kwenye mizizi ni mizizi ya wapi iliyohalalisha niliyoyataja?
Mizizi ya tamaduni zao inakubali hayo yote!. Nionyeshe wapi inakataa!.
Nikupe tu kaidea, unajua biblia za zamani zilikuwa zinatengenezwa kwa kutumia karatasi zilizotokana na mjani wa bange!?
hivi ulishawahi fuatiria mtu anayejiita BABILONI kalitoa wapi hilo neno!?
nakwambia tena exposure inakusumbua!🙂
 
mzee hivi unajua sir godi kaipiga mara 2 dunia lakini wahuni hawajakoma!.
1. sir godi akashusha mvua dunia nzima (gharika kuu), kipindi hiko watu wanakula mpaka za mijusi!.
2. sir godi anaamua choma miji miwili yotee (sodoma na gomora) usifanye mchezo ujue!.
Wewe ni nani kuja sema sasa hivi maadili yamepungua wakati yapo ya kutosha!. Nakwambia ungezaliwa kipindi cha sodoma na gomora yanayofanyika saa hii ungesema hiiii hawa nao wanajikuta wamechafukwa!.😂
Kumbe unatambua jinsi gani mungu anachukizwa na vitendo viovu sasa kwa nini uone sawa yanayoonyeshwa kwenye filamu za Hollywood kama sio unafiki na uzandiki wa kiswahili.
 
Mizizi ya tamaduni zao inakubali hayo yote!. Nionyeshe wapi inakataa!.
Nikupe tu kaidea, unajua biblia za zamani zilikuwa zinatengenezwa kwa kutumia karatasi zilizotokana na mjani wa bange!?
hivi ulishawahi fuatiria mtu anayejiita BABILONI kalitoa wapi hilo neno!?

nakwambia tena exposure inakusumbua!🙂
Hongera kwa kuwa na exposure ya mambo hayo as long unaona upo sawa Mimi ni nani hasa mpaka nikuzie unachoamini
 
Kinachotafutwa na hao wenzetu ni kuunda utamaduni mmoja wa dunia utamaduni wenye uovu ambao kwa kipindi kirefu ulikuwa unafichwa ili kiifanya jamii iwe stable at least,
Nia yao ovu ya kuzifanya deviance culture kuwa juu na hata kuwa ndo kiigizo
 
Aisee hayo madudu yapo Kila mahala,
Kinachotakiwa ni wewe kujitambua na kucontrol akili yako pamoja na msimamo thabiti,
Ila nasikitika hawa watoto/vijana wa sasa hivi ambao ndio kizazi kijacho ndio watakao/wanaopotea,

Kama unajielewa na kujitambua lazima utakua unajua lipi baya, lipi zuri
Binafsi naangalia movie hayo madudu yao nawaaachie wenyewe,

Kila mtu ashike usukani wake apeleke gari yake eidha kwenye misumari au kwenye rami ikiharibika/isipoharibika ya kwake, hakuna haja ya kubishana/kulazimishana
Kama yako ni nzima na unajiona upo sahihi basi sawa, ishi kwenye ulimwengu wako unaoona unakufaa hayo mengine waachie wenyewe,

ukiona mtu anashawishika na Kila anachokiona hata kiwe kibaya na anajua ni kibaya basi lazima atakuwa mtoto Kama sio mtoto basi huyo mtu hajitambui,akili zake ndogo, anashikiwa akili.
WEWE ACHANA NAYE AMINI UNACHOONA UPO SAHIHI.
 
Huo ndo ukweli, japo wengi watapinga.. Mwanzoni nilikua mpenzi sana wa Game of Throne, ila sasa... Ni kampeni za wazi kabisa bila hata kutumia akili kubwa kutambua. Kwa wale walio onja shule ya saikolojia japo kidogo wataelewa ni namna gani akili inavyoweza kubadilishwa, kuaminishwa na hatimaye kubadilishwa kabisa na kuona mambo hayo ni kawaida. Ukweli watafanikiwa, mtego mkubwa ni kuweka wahusika wenye mvuto, wanaopendwa tena katika scenes zilizo kuu.

In psychology, sublimation is a mature type of defense mechanism, in which socially unacceptable impulses or idealizations are transformed into socially acceptable actions or behavior, possibly resulting in a long-term conversion of the initial impulse.

Hii ni sehemu ya somo la saikolojia (defence mechanism and altitude), jaribu ku-Google (usome aina ya defence mechanism & altitude)
Game of thrones ilikuwa na tatizo gani? Ilikiwa na kitu gani ambacho ni cha ajabu sana ambacho duniani kilikuwa hakipo au hakijawahi kuonyeshwa?
Wanawake kujiuza? Ushoga na usagaji vilikuwa kwa kiasi kidogo sana
Kama vip tazama tu bongo movie,
 
Back
Top Bottom