MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hahaa!
Nilidhani ni peke yangu ninayeangalia hizi filamu za enzi za ukoloni!
Ni juzi tu nimetoka kuiangalia Citizen Kane ya 1941!!
Anyway, niitafute hiyo The Good, The Bad and the Ugly!
Kabla kichapo hakijaanza nachekaga pale angel eyes alipomuuliza Tuco wakati wanakula kama anataka music, jamaa akajibu "music, yeah its very good for the digestion"Angel Eyes anamshikisha kichapo cha haja bwana Tuco
πππππ
Itafute mkuu, ni moja kati ya best movies of all timeHahaa!
Nilidhani ni peke yangu ninayeangalia hizi filamu za enzi za ukoloni!
Ni juzi tu nimetoka kuiangalia Citizen Kane ya 1941!!
Anyway, niitafute hiyo The Good, The Bad and the Ugly!
Duh! Hata hii umeiona?! Hii kitu niliishia kusoma script yake the time najifunza uandishi wa script... for comedy in particular!Hahahahaha,
Hizi mambo madini bwana.
It's a mad, mad, mad, mad World umeiona ???
Nitaitafuta... itakuwa ndo project yangu weekend hii!Itafute mkuu, ni moja kati ya best movies of all time
Hahahaha, ngoja kesho niiangalie tena.Tuco: if u miss u better miss very well, whoever double crosses me and live me alive he understands nothing about Tuco, nothing
Yaani Tuco alikuwa ni mpumbavu sijapa ona, yaani lenyewe likiona chochote linafanya wala halijali....Kabla kichapo hakijaanza nachekaga pale angel eyes alipomuuliza Tuco wakati wanakula kama anataka music, jamaa akajibu "music, yeah its very good for the digestion"
Hahahahaha, hii kitu nimeicheki miaka mingi sana iliyopita. Its a masterpiece aisee, unaweza kucheka mpaka ukalia.Duh! Hata hii umeiona?! Hii kitu niliishia kusoma script yake the time najifunza uandishi wa script... for comedy in particular!
Namkumbuka sana Babu Carlo... moja ya waigizaji bora kabisa wa action comedy.Hahahahaha, hii kitu nimeicheki miaka mingi sana iliyopita. Its a masterpiece aisee, unaweza kucheka mpaka ukalia.
Hivi Bud Spencer unamkumbuka ???