FILAMU: THE GOOD, THE BAD AND THE UGLY

FILAMU: THE GOOD, THE BAD AND THE UGLY

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Hizi ni baadhi ya sehemu za kwenye ile filamu ambayo nahisi ni moja kati ya filamu bora sana kuwahi kutengenezwa hapa duniani. Ina masaa matatu lakini huwa sichoki kuangalia na kuirudia. Japo ni filamu ya mwaka 1966

TUCO- When you have to shoot, shoot don't talk

😀😀😀😀

CC: Red Giant , Consigliere
 
Angel Eyes anamshikisha kichapo cha haja bwana Tuco

😀😀😀😀😀
 
Tuco ananyongwa na Blondie, anafurumusha bonge la mtusi.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hahaa!

Nilidhani ni peke yangu ninayeangalia hizi filamu za enzi za ukoloni!

Ni juzi tu nimetoka kuiangalia Citizen Kane ya 1941!!

Anyway, niitafute hiyo The Good, The Bad and the Ugly!
 
Hahaa!

Nilidhani ni peke yangu ninayeangalia hizi filamu za enzi za ukoloni!

Ni juzi tu nimetoka kuiangalia Citizen Kane ya 1941!!

Anyway, niitafute hiyo The Good, The Bad and the Ugly!

Hahahahaha,
Hizi mambo madini bwana.
It's a mad, mad, mad, mad World umeiona ???
 
Hahaa!

Nilidhani ni peke yangu ninayeangalia hizi filamu za enzi za ukoloni!

Ni juzi tu nimetoka kuiangalia Citizen Kane ya 1941!!

Anyway, niitafute hiyo The Good, The Bad and the Ugly!
Itafute mkuu, ni moja kati ya best movies of all time
 
Kabla kichapo hakijaanza nachekaga pale angel eyes alipomuuliza Tuco wakati wanakula kama anataka music, jamaa akajibu "music, yeah its very good for the digestion"
Yaani Tuco alikuwa ni mpumbavu sijapa ona, yaani lenyewe likiona chochote linafanya wala halijali....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duh! Hata hii umeiona?! Hii kitu niliishia kusoma script yake the time najifunza uandishi wa script... for comedy in particular!
Hahahahaha, hii kitu nimeicheki miaka mingi sana iliyopita. Its a masterpiece aisee, unaweza kucheka mpaka ukalia.

Hivi Bud Spencer unamkumbuka ???
 
Hahahahaha, hii kitu nimeicheki miaka mingi sana iliyopita. Its a masterpiece aisee, unaweza kucheka mpaka ukalia.

Hivi Bud Spencer unamkumbuka ???
Namkumbuka sana Babu Carlo... moja ya waigizaji bora kabisa wa action comedy.

Dah, RIP Bud Spencer!
 
Back
Top Bottom