Filamu ya JOHN WICK 4, kuachiwa tarehe 24/3/2023

Filamu ya JOHN WICK 4, kuachiwa tarehe 24/3/2023

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Yeah unaweza sema the dangerous killer Mr keanu Reaves a.k.a John wick himself is back.

images (3).jpeg

Waandaaji wa filamu hii na duru za uhakika wameweka wazi kuwa baada ya kimya Cha muda mrefu, basi filamu ya John wick itaachiwa tarehe 24/3/2023.

images (5).jpeg


Moja ya vitu ambavyo vimeonyesha filamu hii itafanya vizuri zaidi, ni uwepo wa mastaa wakubwa duniani ambao wanasifika katika tasnia ya filamu za ndondi kama 👉Donnie yen
👉Scot Adkins. Na keanu Reeves himself.
images (6).jpeg
images (7).jpeg


Can't wait for the big fighting scenes Da'Vinci, Mr Q, Boogman Prince Kunta
 
Back
Top Bottom