Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Siangalii sinema za siku hizi, zimejaa mashoga na ushoga
Toka hapo movie ni uongo/maigizo.Movie nyingi zikipatia kuendelea 1,2,3 na 4 ni bahati.ila zinavozidi kuendelea hizo part zinakuwa na uongo
Kweli kabisa hata fast and furious nushaachana nazo, john wick nayo nishapiga chini,Movie nyingi zikipatia kuendelea 1,2,3 na 4 ni bahati.ila zinavozidi kuendelea hizo part zinakuwa na uongo
Usisahau Scot Adkins yumooJohn wick Vs don yen ubaya ni kwamba John wick Hana mbamba na pigo zake za kimafia
John wick ni mzuri wa timing na judo ana mbinu za haraka za kuua
Utamu kolea...Usisahau Scot Adkins yumoo
Utamu kolea...
Scot kawa bonge acha utani basi...
Hiyo character imetengenezwa, so ataonekana hivyooo. Sijajua Kama atakuwa kiongozi yule adui ??Scot kawa bonge acha utani basi...
Atakua adui siku hizi kabadiri character hua anacheza km adui,Hiyo character imetengenezwa, so ataonekana hivyooo. Sijajua Kama atakuwa kiongozi yule adui ??
Nimesoma hints Inasemekana Kuna kiongozi ataanzisha vita na John wick so nahisi anaeza kuwa yeyeAtakua adui siku hizi kabadiri character hua anacheza km adui,
Ila John Wick πππ sipati picha nini kitatokea ni bonge la movie hilo,Nimesoma hints Inasemekana Kuna kiongozi ataanzisha vita na John wick so nahisi anaeza kuwa yeye
Yah icheki moja ya kichina inaitwa wolf warrior 1-3 walitisha sanaIla John Wick πππ sipati picha nini kitatokea ni bonge la movie hilo,
Si yupo Scot kweli ile namba 1 Ila 2 & 3 sijazicheckYah icheki moja ya kichina inaitwa wolf warrior 1-3 walitisha sana
Yeah Kuna yule jamaa mchina anajua sanaSi yupo Scot kweli ile namba 1 Ila 2 & 3 sijazicheck