Filamu ya John Wick

Mwamba pia ametisha kwenye 47 Ronin. Paia wadau wengi wanapendekeza kuchukua nafasi ya Hugh Jackman as Wolverine katika X -Men film series.
Kuchukua nafasi ya Hugh Jackman haitowezekana, sababu Keanu Reeves uzee ushamkamata.
 
Hahahaha, kwanza hongera msimulizu, ila huyu jamaa ni noma zaidi ya noma
 
''If you want peace prepare for a war''..#Parabellum asee huyu mtu ni balaa zitoooo 🙌 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…