Filamu ya John Wick

Alipopigiwa simu , mzee akaagiza make funereal arrangements, alijuafika kijana ameshauwawa.
 

Dah, yaani nasoma kwa hisia kama nikijiweka kwa nafasi ya Vigo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vigo alikitendea haki sana hicho kipande. Nakumbuka siku ya kwanza kucheki hii movie baada ya kutazama hicho kipande tu nkajua moja kwa moja hili ni bonge la movie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, yaani jamaa alivyokuwa terrified hadi mtu unapata hamu ya kumjua huyo mtu.

Vigo: That f*cking nobody, is John Wick...


Vigo: I once saw him kill 3 men in a bar with a pencil!!! With a f*cking...pencil!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bogeyman[emoji2]
Hii movie inakifikirishaga sana, ni kama wana dunia yao tofauti [emoji2]
-watu wanakunywa kwanza halafu wanauana[emoji2][emoji2],
- zile coin wanatumia
-jamaa anaweza ua mtu hadharani kabisa au akatokea mtaani na madamu halafu watu wanaendelea na maisha yao
-kumiliki silaha ni kama Kitu cha kawaida kabisa
-kila baada ya watu wa5 kuna muuaji[emoji2]
-john wick kama jack sparrow kila mtu anamjua duniani
-jamaa anaakufanya ukifika italia uone kama hauko salama
-anapenda beef kama nini
Btw; jamaa kapromote ile gari vibaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…