Filamu ya Kitanzania yatajwa kuwania Tuzo ya Oscar, ni ya pili tangu mwaka 2002

Currently showing in Nairobi....labda ikitoka huko kutakuwa na screenings nyingine hapa ndani.

Follow page ya Kijiweni Production au ya Amil ili iwe rahisi kupata taarifa.
Thanks. Hizo pages zipo ktk platform gani? Instagram, Twitter, or ...? Pia kwa kuwa wewe upo JF I hope unaweza kutu_update pengine hata kupitia uzi huu.
 
Instagram.

Nikikumbuka ntafanya hivyo.
 
Screenshot_20221019-135916_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom