Filamu ya Lissu itaanza kunoga akitoka hospitalini

Filamu ya Lissu itaanza kunoga akitoka hospitalini

chifu77

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
902
Reaction score
596
Habari wanabodi.
Nakumbuka nikiwa mdogo nilipenda filamu za action. Unakuta Staring kawindwa na majambazi, wanampata, wanammiminia risasi zakutosha, wanalipua gari lake. Baada ya muda unamwona stelingi anatoka akijikongoja kwenda kutibiwa. Anapona na anaanza kulipiza kisasi kwa maadui wake. Hapo ndio muvi inaponoga sasa.

Basi nilikiwa nasema "huu ni uwongo". Sasa ndo nimeamini kumbe inawezekana mtu kupigwa risasi 28 na asife bwana. Haya, Stelingi yupo nairobi anatibiwa. Nasubiri atote aanze kuwasakama wabaya wake. Hii muvi ndio kwanza inaanza kunoga.

When it came to death, the commander is the Last to die.

Tusubiri, tukae mkao wa kula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naisubiria hiyo muvi...
quote-hope-is-the-last-thing-that-dies-in-man-francois-de-la-rochefoucauld-103-92-22.jpg
 
Back
Top Bottom